Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 775
- 1,712
nothin to see π₯²
Inshallah siku ingine ntakuona babes β€οΈ Kila nikiingia napishana nayo π
Umemeeeeeeeeeeee πππHii niliweka kama wiki 2 zilizopita, huwa nachagua zile ambazo hazipo kwa other social media .
View attachment 3674697
Dadaangu mcute β€οΈβ€οΈHii niliweka kama wiki 2 zilizopita, huwa nachagua zile ambazo hazipo kwa other social media .
View attachment 3674697
Gudubaiinothin to see π₯²
Polee π sawa sitoacha kukutagInshallah siku ingine ntakuona babes β€οΈ Kila nikiingia napishana nayo π
Unafanana na rafiki yangu anaitwa Dori, mtoto wa kijita ana sura nzuriiiiiii balaa!Leo nataka nikubless tu laaziz au sio? πΉπΉ
Njoo tule safari, mana kuna mtu alisema eti celeb wa Nigeria sio mimi. Nilicheka sana.!!
Sasa nimeamua kuweka pic yenye chupa wa bia la nyumbani kabisaaaa
ππ BabesDadaangu mcute β€οΈβ€οΈ
Hahah yaani haka kaeneo huwezi kupita bila kijitwanga fotoo hata kama huna wa kukupiga picha wahudumu kibao tu unaita mmoja mambo safi!Umemeeeeeeeeeeee πππ
Huyu mtu au jini?
Mate igweeeeeeeeeeee ππππ
Forest Hill stand up
Halafu nna pic ya hilo eneo ujue.. kiti hiko hiko nilikaaa πΉπΉπΉπΉ
Hahaha hapo ilikua unajikuta nani vile kwani/ulikua unamuambia nini coca.Leo nataka nikubless tu laaziz au sio? πΉπΉ
Njoo tule safari, mana kuna mtu alisema eti celeb wa Nigeria sio mimi. Nilicheka sana.!!
Sasa nimeamua kuweka pic yenye chupa wa bia la nyumbani kabisaaaa
πΉπΉπΉ Mi nakufananisha na Neema naye msingidani wa Forest πΉUnafanana na rafiki yangu anaitwa Dori, mtoto wa kijita ana sura nzuriiiiiii balaa!
Mashallah rangi π₯
π π π Sema fore kulikuwaga na kazi zimesimama hatari!πΉπΉπΉ Mi nakufananisha na Neema naye msingidani wa Forest πΉ
Mi mkinga sasa dah..!!
πΉπΉπΉ Nilikua naona ananichelewesha na dompo yake..!! Analeta nzi na nyuki tu..!!Hahaha hapo ilikua unajikuta nani vile kwani/ulikua unamuambia nini coca.
Oyaa nimekubali Leo mchuchu
Umetisha sana, mpaka vishimo ndo viugonjwa vya chino hivo
Yani mi ndo msumbufu mpaka wamenizoea πΉπΉπΉHahah yaani haka kaeneo huwezi kupita bila kijitwanga fotoo hata kama huna wa kukupiga picha wahudumu kibao tu unaita mmoja mambo safi!
Kazi zimesimama balaa..!! πΉπΉπΉπ π π Sema fore kulikuwaga na kazi zimesimama hatari!
Mi muuza vijora tu mabovu bora hata nyie mliolamba ajira, yani kesho najiandaa kukatika na spika langu la sundar kuita wateja..!! πΉπΉπΉWa Mwajiri tulale kesho tukanyooke, Mtaponzwa na Lamomy mkeshe mwenzenu Boss anaenda kariakoo saa 4 π
Muda ndiyo huunothin to see π₯²
Ok, zanzibar kutamu.Yeah, kama upo close sogea Nanga apa tupate mbili tatu