Utapiga pesa ndefu bro, wezi ni wengi mno
Utapiga pesa ndefu bro, wezi ni wengi mno
picha ya vidole vyangu umeitoa wapi😜🤔
Wapii migebuka😎
Mkuu ni kwamba umetulia hapo auView attachment 3675274
Seran Chica Gee binti kiziwi Lamomy Christine_1 Mahondaw tumeni picha tusuuze macho
The view though😍View attachment 3675274
Seran Chica Gee binti kiziwi Lamomy Christine_1 Mahondaw tumeni picha tusuuze macho
Yeah siku ya 3 niko hapa kisiwaniMkuu ni kwamba umetulia hapo au
pic zangu zote nishatupia saivi itakua marudioView attachment 3675274
Seran Chica Gee binti kiziwi Lamomy Christine_1 Mahondaw win-one tumeni picha tusuuze macho
Pametulia sana hapa! Nimepapenda nipe jina nianze kutunza kibubu☺️karibu Next time tuje wote
View attachment 3675276
Ulinitumiyaaa😂picha ya vidole vyangu umeitoa wapi😜🤔
Emerald Village - Paje, Zanzibar. Bei utayokutana nayo AirBnB au Booking.com usishangae ndo iyoiyoPametulia sana hapa! Nimepapenda nipe jina nianze kutunza kibubu☺️
Basii tuishie hapo tu! Mambo ya kusave miaka 6 sitoweza!Emerald Village - Paje, Zanzibar. Bei utayokutana nayo AirBnB au Booking.com usishangae ndo iyoiyo
Bei ya kawaida tu, jichange utapoishia nambie niongezee tuje wote. Pako 100/10 😁🔥Basii tuishie hapo tu! Mambo ya kusave miaka 6 sitoweza!
Panaonekana tu si mchezo unaandikia mate👌🏽 Sawa nitajichanga nishtue roho za kimasikini 😁Bei ya kawaida tu, jichange utapoishia nambie niongezee tuje wote. Pako 100/10 😁🔥
Hapo ni lake tanganyika view hotel binti kiziwiWapii migebuka😎
Santana!!
Migebuka yangu naipataje?😎Hapo ni lake tanganyika view hotel binti kiziwi