spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Akija mwanajf kigoma ntampatia zikiwa na barafu kabisaMigebuka yangu naipataje?😎
Akija mwanajf kigoma ntampatia zikiwa na barafu kabisaMigebuka yangu naipataje?😎
Halafu? Mimi nazitaka anonymously 😁Akija mwanajf kigoma ntampatia zikiwa na barafu kabisa
Hapo unahitaji mdada mrembo wa kupoa naye..!! Tafuta watoto wa ki Zanzibar mkuu. 😹View attachment 3675274
Seran Chica Gee binti kiziwi Lamomy Christine_1 Mahondaw win-one tumeni picha tusuuze macho
Migebuka au na mawese kabisaHalafu? Mimi nazitaka anonymously 😁
Maisha haya magumu sana..!! 😹😹
Migebz..Migebuka au na mawese kabisa
Hiyo mifano ya nyuki mi sitaki..Mwanaume ndio anachaguliwa, ndio tunapoint.
Nyuki ndio analifuata ua, sio ua linafuata nyuki
Say no moreMigebz..
Kanda ya ziwa moja hii, nilikua huko wiki iloisha maisha murua kabisa 🔥Kwa ridhaa ya rafiki.View attachment 3675308
Yuuup! Kahama.Kanda ya ziwa moja hii, nilikua huko wiki iloisha maisha murua kabisa 🔥
Watoto wa Kizanzibari siwawezi jitolee tu wewe apo uokoe jahazi 😁Hapo unahitaji mdada mrembo wa kupoa naye..!! Tafuta watoto wa ki Zanzibar mkuu. 😹
Nina pics nyingi lakini sipost kokote, huwa ni kwaajili yangu tu..!!😂😂😩😩
Na huu ndio uzuri wa maisha, My camera roll ina moments nyingi sana ambazo sijazipost popote, Infact najutia siku niliyoanzaga kupost 😂😂😂 Sijajua ni kiherehere gani kilinituma.
Maisha yalikuwa mazuri sana chini ya maji. Watu hawajui uko wapi unafanya nini unaishi zako unaenjoy kimya kimya.
Mi hapana msubiri kuwadi wako akutafutie wa kukupa aiseee..!! 😹😹😹Watoto wa Kizanzibari siwawezi jitolee tu wewe apo uokoe jahazi 😁
ushachelewa mama MioNdo natinga saii mrembo fanya mambo asubuhi yangu iishe vizuri.
Utaweza kumsubiri mtu akuletee pesa ambaye huna miahadi naye? 😹😹😹Mwenetu huo ndio u Boss wenyewe, Mi nikigonga 35 natema ndoano nije huko mnipe connection.
Ngoja tujikusanye kusanye kwanza.
Ni basi tu tumeletewa social media sio kwaajili ya kujipost sisi sio celebrity 😂 heri wanaofanyia biashara.Nina pics nyingi lakini sipost kokote, huwa ni kwaajili yangu tu..!!
Nikipost sichukui muda nafuta, huwa najiuliza maswali mengi.
Napost ili iweje? Nimepotea? Nimekufa?
Nataka kumuonyesha nani? Ili iweje? Basi nikishajiuliza maswali hayo kama nilipost nadelete nalala..!!
Wa cuba huyo 😀Rafiki zangu pic zangu kuzipata mpaka wanivizie wanipige bila mimi kujua..!! 😹😹
Kuna siku niliweka video WhatsApp naimba, nikaikuta kwenye status nyingine ya mtu ambaye sina uhusiano naye kaniwekea na 🥰 aiseee nilikiwasha nikamwambia futa haraka..!! 😹😹😹
Naona kabisa anatengeneza movie la mapenzi na kutaka nionekane tunadate kitu ambacho si kweli..!!
Aloooooh! Ntamwambia show me your ways master! Igweeee 🤣Akupe connection huyo asikutanie kabisa, ana maduka makubwa mawili ya jumla
sawaaView attachment 3675274
Seran Chica Gee binti kiziwi Lamomy Christine_1 Mahondaw win-one tumeni picha tusuuze macho