MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
WapiiHii hapa
🤚
UmechelewaWapii
Michezo hioUmechelewa
Mwenetu huo ndio u Boss wenyewe, Mi nikigonga 35 natema ndoano nije huko mnipe connection.Mi muuza vijora tu mabovu bora hata nyie mliolamba ajira, yani kesho najiandaa kukatika na spika langu la sundar kuita wateja..!! 😹😹😹
😂😂😩😩Yani mi ndo msumbufu mpaka wamenizoea 😹😹😹
Kama hiko kiti nitakiwekea kila mkao mpaka kinatamani kuniambia inatosha sasa Lamomy..!!
Na huu ndio uzuri wa maisha, My camera roll ina moments nyingi sana ambazo sijazipost popote, Infact najutia siku niliyoanzaga kupost 😂😂😂 Sijajua ni kiherehere gani kilinituma.Halafu pics zenyewe hata sipost nilivyo msumbufu..!! 😹
Naishia kuzitazama mwenyewe..!!
Ni vizuri ungesema pia unampenda nani, hapo inakua rahisi zaidiMkuu hebu pekua pekua huko masijala pisi yoyote ambayo haina mwenyewe nibariki nawe ubarikiwe
Tayana ni wako, naomba kwenye hili uniamini kwa 100%Natoka kidogo naenda beach mpaka badae kidogo ila Christine_1 ni halali yangu Countrywide ulinzi uimarishwe vya kutosha 😂🏃🏽♂️
Mwanaume ndio anachaguliwa, ndio tunapoint.Wee kuwadi wa mwendokasi naomba niwekee list ya wanaume wale Big five ambao unawafahamu humu wapo smart upstairs na kuna platinum mmoja nataka asikosekane kwenye hiyo list 😍
Nna jambo langu. Mi sitaki kuchaguliwa na mtu nisiyempenda nataka nichague mwenyewe na uhakikishe mpaka nampata huyo member..!! 🥰
Mkuu ujumbe umemfikia, kuna mambo yamemuweka busy kidogo lakin kila kitu kipo sawa. Tayana ni wako 💯
Siwezi kushindwa, subiri mkuu mambo yalikua mengi si unajua weekend zilivyoSeran niletee Christine_1 maana countrywide kashindwa kazi
Christine_1 My young brother has developed a significant crush on you
Akupe connection huyo asikutanie kabisa, ana maduka makubwa mawili ya jumlaMwenetu huo ndio u Boss wenyewe, Mi nikigonga 35 natema ndoano nije huko mnipe connection.
Ngoja tujikusanye kusanye kwanza.
😆😆Mi muuza vijora tu mabovu bora hata nyie mliolamba ajira, yani kesho najiandaa kukatika na spika langu la sundar kuita wateja..!! 😹😹😹
G una shida gani na mimi?
Naona unafukunyua nyuzi za ajabu ajabu ili tu unichokoze..!! Tatizo nini??