Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Hii ni Mercedes C class ya mwaka wa mbele, tajiri umepoaaa tajiri umepoaaa๐Sasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani ๐น
Tajiri yetu sasa hivi ni mwendo wa Benz tu๐Ndio maana watu wakadhani celeb wa west ๐๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
Igweeee mate, you look dope! ๐ฅฐ
Hii chuma umenichanganya asee, umevuta lini? Hii Metho utamruhusu kweli hata asogeze?๐๐Celeb wapi? Basi tu JF wanapenda kuona wote tumepauka na vumbi..!! ๐น๐น
Awwww mate, thanks ๐
Igweeeeeeeeee
Shusha, au kama vipi tayana anachelewa nipe hata huyo MFALME WETU niwe Malkia wake..!! ๐น๐น๐นNilikua busy, simu kama zote hakuna utulivu kabisa. Hapa naona simu zimepungua so ngoja nishushe list ya nguvu๐ฅ
Ametuacha kwenye mataa! ๐Tajiri yetu sasa hivi ni mwendo wa Benz tu๐
Bila shaka kabisa, ye akatae tu ๐คฃHii ni Mercedes C class ya mwaka wa mbele, tajiri umepoaaa tajiri umepoaaa๐
binti kiziwi nilikuambia lakini nadhani unajionea
Umenijaza mpaka nimepost bajaji yangu mtsiewwww ๐นHii ni Mercedes C class ya mwaka wa mbele, tajiri umepoaaa tajiri umepoaaa๐
binti kiziwi nilikuambia lakini nadhani unajionea
Usiwe na haraka, wewe tulia mm ndio sterling I know what I do. Tulia, ngoja kwanza tumalize kujadili hii Mercedes maana umenivuruga kabisa๐Shusha, au kama vipi tayana anachelewa nipe hata huyo MFALME WETU niwe Malkia wake..!! ๐น๐น๐น
Aje aungurumishe Benz la dada mkinga..!! ๐น
Kabisa asee, nilikua Bado nimekariri Forester kumbe tayari yupo na Benz. Huyu usishangae siku chache zijazo akavura Jetour๐Ametuacha kwenye mataa! ๐
Siku ukichange mind na kutaka kuingia kkoo alafu akazingua asee sitamuelewa nitammind sana aseeBila shaka kabisa, ye akatae tu ๐คฃ
Sema raaangeeee kwa sauti ya Aristotle ๐Kabisa asee, nilikua Bado nimekariri Forester kumbe tayari yupo na Benz. Huyu usishangae siku chache zijazo akavura Jetour๐
Country unanipambania sana, sitakusahau hata ya soda tu ๐๐๐๐Siku ukichange mind na kutaka kuingia kkoo alafu akazingua asee sitamuelewa nitammind sana asee
Tajiri nicheck nna mazungumzo marefu na wewe muda huu(nipo serious)Umenijaza mpaka nimepost bajaji yangu mtsiewwww ๐น
Range anavuta fasta tu huyu, Kuna simu moja nilikua na video yake alinitumiaga ana burungutu za dollar mia mia. Nikiipata hiyo simu kesho nitakuletea hapa uone balaa lakeSema raaangeeee kwa sauti ya Aristotle ๐
Kweli umechanganyikiwa ๐น๐นHii chuma umenichanganya asee, umevuta lini? Hii Metho utamruhusu kweli hata asogeze?๐๐
Alafu nimemkumbuka yule dogo uliyemrekodi anataka kuhonga๐๐๐
Kiujweli nitammind sana kwa kifupi tutagombana kama atakuzingua. Ila nina uhakika wewe hawezi kuzinguaCountry unanipambania sana, sitakusahau hata ya soda tu ๐๐๐๐
We sio level zangu bhana, haiwezekan tukutane mimi napaki kimkweche af wewe unapack ndinga. Nshazoea choka mbaya wenzangu tukiwa tunatoka date wanakaa siti ya kushoto hao safari na muziki ๐ Countrywide njo ufunge hiki kikaoShusha, au kama vipi tayana anachelewa nipe hata huyo MFALME WETU niwe Malkia wake..!! ๐น๐น๐น
Aje aungurumishe Benz la dada mkinga..!! ๐น
Amesikia, bado miaka mitatu mbele tuvute subira na Mungu amuweke inshallah.Kiujweli nitammind sana kwa kifupi tutagombana kama atakuzingua. Ila nina uhakika wewe hawezi kuzingua
Dah kweli siku hazigandi asee๐คฃ๐คฃKweli umechanganyikiwa ๐น๐น
Mbona unataja watu siwajui??
Mate tuko pamoja wala usiwaze ๐นAmetuacha kwenye mataa! ๐