MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Wacha tuone πAnakupotosha huyo πΉ
Uduguu, naomba kesho nikanyage mafuta ndani ya hiyo ndinga?Sasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani πΉ
Niongopewe nini na wewe? Ila cantry jamanii, khaaahKina coca ndio inapaswa kuwaongopea ila Binti kiziwi hapana bana ngoja nimueleze tu ukweli
Wewe tena..!!Uduguu, naomba kesho nikanyage mafuta ndani ya hiyo ndinga?
πΉπΉπΉ Sukari imempanda ghafla..!!πππ shem nae ana kisirani, kwani kuna nini?
Sukari imepanda baada ya kujua una German ndinga na ghorofa mbweni au?πΉπΉπΉ Sukari imempanda ghafla..!!
Aaah wee! Mambo si ndio hayo sasa.Wewe tena..!!
Nakupa week nzima uende nalo site..!! πΉπΉπΉ
πΉπΉπΉπΉ Eti Kantry anamjaza naye anajaa kaanza kutufunulia waraka wa baby boomer viwanja viliuzwa elfu 20..!!Sukari imepanda baada ya kujua una German ndinga na ghorofa mbweni au?
ππππ
Ninavyokupenda last born wetu..!! πAaah wee! Mambo si ndio hayo sasa.
Mwenzie nna German shepherd hiyo ndinga wala sina..!! πΉπΉπΉSukari imepanda baada ya kujua una German ndinga na ghorofa mbweni au?
ππππ
Bado nasisitiza mvumilie Tayana, akiona unataka kukengeuka ataumia sana Binti wa watuMimi namsikiliza mkuu wangu wa kazi Countrywide simpingi kwa chochote. Sitaki nije kumuaibisha humu na bakuli kama Diva the Bosssss ππππ
Ivi kumbe namimi nimefunga. Ahh πππΉπΉπΉ Natafuta funguo nifungue mlango..!!
Yeah sure mkuu wangu,, acha nibaki njia kuuBado nasisitiza mvumilie Tayana, akiona unataka kukengeuka ataumia sana Binti wa watu
Mbona hujaita majiraniπ€£π€£Uduguu, naomba kesho nikanyage mafuta ndani ya hiyo ndinga?
Huko kwako hata sijaangalia, natafuta key za mlango wangu siuoni..!! πΉIvi kumbe namimi nimefunga. Ahh ππ
No way
Majirani wa nini tena? πππMbona hujaita majiraniπ€£π€£
Tajiri Leo umenivuruga sanaπππΉπΉπΉπΉ Eti Kantry anamjaza naye anajaa kaanza kutufunulia waraka wa baby boomer viwanja viliuzwa elfu 20..!!
Nimemwambia relaxxx sina hivyo vitu..!!