Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Nna mpya sasa!!! Bado sijanunua kimeo kipya Nyingi za zamaniHebu nibless we mwanamke acha kunijaza upepo miyee🤣
Nna mpya sasa!!! Bado sijanunua kimeo kipya Nyingi za zamaniHebu nibless we mwanamke acha kunijaza upepo miyee🤣
Pole sana umechelewa!Eti wanasema kuangalia maeneo yaliyopungua kuliko eneo lingine eti ni dawa kwa sisi Wazee 🤭
Nimekaa tayari kujionea hivyo 🤪
Hahaa kwani tumeziona zote za zamani! Nibless tu mwanao😁Nna mpya sasa!!! Bado sijanunua kimeo kipya Nyingi za zamani
Komaa mzee! Utaletewa tu..Nimekaa rada hapa kujionea wajukuu zangu
Maana hata Kiko hawataki kuniletea kabisa Babu yao 🤪
Bilashaka anashughulikia hilo chap kwa harakaNdio achangamke nione muamala chap kwa haraka!
Tena awahi weekend yangu ishaanza na sichekeshi😁Bilashaka anashughulikia hilo chap kwa haraka
Naona jitihada za kupungua zimegonga mwamba aseee sijui nifanyeje!Hahaa kwani tumeziona zote za zamani! Nibless tu mwanao😁
SeranNaona jitihada za kupungua zimegonga mwamba aseee sijui nifanyeje!
Nimeona mamaake mbona kama hapa ulikuwa kibonge?🤭Seran
Itakua hio nguo labda au ni hili dona dagaa lahuku Nyakiboo😃??Nimeona mamaake mbona kama hapa ukikuwa kibonge?🤭
Sema uzuri wewe unajaa chini tu sio kama miye najaa juu tu😂Itakua hio nguo labda au ni hili dona dagaa lahuku Nyakiboo😃??
Weee mi chini mwembamba itakua camera inanijazaSema uzuri wewe unajaa chini tu sio kama miye najaa juu tu😂
Unapenda kunisema kinyume wewe😁Weee mi chini mwembamba itakua camera inanijaza
Kaz kaaaaz!! Huyo ni mdudu au meee??Nsansa Nswalu.Nimeikumbuka kazi yangu ya zamani.View attachment 3687518