Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Nashangaa napungua nisipotaka papungue aisee🤦🏽♀️Maisha yamenila kiboga lamama najikuta tunapishana sana kijiweni..
Ulifikia wapi kwenye jitihada za kupungua????
Nashangaa napungua nisipotaka papungue aisee🤦🏽♀️Maisha yamenila kiboga lamama najikuta tunapishana sana kijiweni..
Ulifikia wapi kwenye jitihada za kupungua????
Wapi hapo???😁😁😁Nashangaa napungua nisipotaka papungue aisee🤦🏽♀️
Koh koh koh 🤭Nashangaa napungua nisipotaka papungue aisee🤦🏽♀️
Kweli wajukuu ninao 🤗Wapi hapo???😁😁😁
Hebu tuone nisafishepo na macho kwanza.
Inaumiza sana unajua😐Wapi hapo???😁😁😁
Hebu tuone nisafishepo na macho kwanza.
Hmm we mzee na umbea🙌🏾Koh koh koh 🤭
Niandae miwani yangu ya macho kushuhudia hapo palipopungua kuliko mahali pengine? 🤪
Hapana lamama mbona naonaga uko vyedi sana hebu tuone hio ulopungua maeneo kwanza ! Ukute unaongea kinyume weye😊Inaumiza sana unajua😐
I really wish😣Hapana lamama mbona naonaga uko vyedi sana hebu tuone hio ulopungua maeneo kwanza ! Ukute unaongea kinyume weye😊
Mzee kasema Hataki kupitwa na neema zako mjukuu wake tufanyie wepesi lamama!Hmm we mzee na umbea🙌🏾
Anikome mimi! Wajukuu si anao wengi huko 😁Mzee kasema Hataki kupitwa na neema zako mjukuu wake tufanyie wepesi lamama!
Usimfanyie hivo lamama anao wengi ila kakukubali weyee! Hebu mfanye aone vizuri siunajua uzeee😃😃Anikome mimi! Wajukuu si anao wengi huko 😁
Aah wapi! Bado sijafikia ile goal👌🏽
Atoe ela kwanza🤣Usimfanyie hivo lamama anao wengi ila kakukubali weyee! Hebu mfanye aone vizuri sounajua uzeee😃😃
Hebu fanya namna mzee apate kiko kwanzaaa wazeee wanatakiwa kujaliwa ujue😂Aah wapi! Bado sijafikia ile goal👌🏽
Unamuita mbabu aanze kuomba kupelekewa kiko kama kawaida yake🤣
Kumbe na hela anazo na hasemi?? Akufanyie wepesi sasa weekend umpelekee kiko mapema sanaAtoe ela kwanza🤣
Hebu nibless we mwanamke acha kunijaza upepo miyee🤣Hebu fanya nampa mzee apate kiko kwanzaaa wazeee wanatakiwa kujaliwa ujue😂
Hahaha atoe pesa bwana wee anataka kupelekewa kiko na hana mia? Haiwezekani bana!!😆Kumbe na hela anazo na hasemi?? Akufanyie wepesi sasa weekend umpelekee kiko mapema sana
Eti wanasema kuangalia maeneo yaliyopungua kuliko eneo lingine eti ni dawa kwa sisi Wazee 🤭Hmm we mzee na umbea🙌🏾