binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Imeisha hiyo…..😹😹😹 Kaptula ya nyuzi nyuzi..!!
Ujue hiyo siku nna mpango wa kupanda stejini, sasa kuchekesha watu sitakiiii 😹
Jitahidi mate hiyo siku uwepo jijini tukaimbe na mahi wetu..!!
Kuna rafiki yangu yuko excited jamani siku hiyo sijui atafanyaje.