binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Jana nililala mapema jameni, Juzi tulikesha ujue. Ilikuwa lazima nifidie.binti kiziwi ulinambiaje
Wazima mkwe, Jana umepita sikuwepo, Jioni ufanye mpango basi upite unitagSalama mkwe. Vipi huko wazima ?
Anza weweHebu tuone
Umekubali?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃila una mambo
Tumeku missNilijua huu uzi ulishakufaga๐๐kumbe bado upo bhana.
Haya mpo salama?
haha! ni haki kweli hii yani mchuchu ghafla ushanigeuza babu yako.๐น๐น๐น
Hivi bado sijafika pm?
Ngoja nitafute njia ya kufika..!!
ShesRise_1 ni wewe ndiyo utarithishwa hili koti la babu?View attachment 3691017
Sikumbuki tukio lilihusu nini, lakini ilikuwa ni katikati ya mwaka 47 ๐คญ
Hello everyone ๐ฅ
Eeeeeh Bwana Yesuuuuuu๐โโ๏ธShesRise_1 ni wewe ndiyo utarithishwa hili koti la babu?
Kwanini "La hasha " lakini ๐คฃEeeeeh Bwana Yesuuuuuu๐โโ๏ธ
La Hasha sitarithi hili koti๐ โโ๏ธ
Huyo namtegemea aniletee Koti lingine kama zawadi ya babu atakapoposwaShesRise_1 ni wewe ndiyo utarithishwa hili koti la babu?
Hata kama "Koti la babu lina chawa", si kuna washing machine siku hizi ๐คชEeeeeh Bwana Yesuuuuuu๐โโ๏ธ
La Hasha sitarithi hili koti๐ โโ๏ธ
Lamomy akipita ameniwakilisha vyema๐น
Alishapita nilimuona ni zamu yako sasa ๐Lamomy akipita ameniwakilisha vyema๐น
Mchukue lamomy๐น๐ฅ๐Umekubali?
Nilipita usiku mkuuuAlishapita nilimuona ni zamu yako sasa ๐
Leo nataka nipite humu ila ukipita kwanza itakuwa vyema zaidi ๐Nilipita usiku mkuuu
๐ ๐ msisitizo
We nakwambia kila siku utakula ulipopeleka mboga ๐ ๐Hata kama "Koti la babu lina chawa", si kuna washing machine siku hizi ๐คช
Ujiandae kuliziba viraka tu, maana limechakaa haswa ๐คญ