Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Kwa pesa zako lakini 😹Finishing utafanya lamama
Kwa pesa zako lakini 😹Finishing utafanya lamama
😹😹🤣😹😹😹 Ntakuchapa..!!
Boss ni Mungu tu Mkuu 😀
Kesho Mwabukusi anahitajika kwa Mwafwele umeuona uzi ?
Sijauona, nitafuatilia.
Kuelekea kule tulipoahidiana!Kuelekea wapi?
Ndio Narudi nyumbani. Mpenzi nimetoka kutafuta nije nikutunze wangu.The Ghost Writer huyo ndio vitu vyangu.
Muambie aweke picha umuone hapo.
Ni 🔥🔥🔥
Salama mkwe. Vipi huko wazima ?
Nimefika.
😂😂😂😂 kwa kweli.Usikubali kula makombo 😹
Halafu unda group uniweke tumchambe afu akijibu tunamleftisha..!!
Dear, em weka picha wakuone, isionekane naongea uongoNimefika.
Doooh 😅Dear, em weka picha wakuone, isionekane naongea uongo
Dear, em weka full wakuonee, nataka uwathibitishie hapa. 😘😘Ndio Narudi nyumbani. Mpenzi nimetoka kutafuta nije nikutunze wangu.
View attachment 3690778
Mlongo em tulia, umuone shemeji ako hapa.Doooh 😅
NaamKwa pesa zako lakini 😹
Oh. Wife tulale. Penzi langu ni Mimi na wewe tu. Tukiwepo chumbani wawili tu inatosha. Sio lazima Kila mtu atujue.Dear, em weka full wakuonee, nataka uwathibitishie hapa. 😘😘
Nipo 👀Mlongo em tulia, umuone shemeji ako hapa.
😂😂😂😂 kaaah nimecheka sana, kwakweli wakina Ngosha ShikamooSiku ukiona umechoka Umiss unaenda zako kujitafutia mwili wako safi kabisa ukilud mjini utaenda Gym kuupanga sasa😃😃
Yaan 😂😂😂😂 unaniandama sana