Tubaki hapo kwenye namba 2 na 3 πΉπΉFally nitakuwa mie mchimba chumvi! Mimi sina maringo, hapa BK atanisaidia.
Sasa upapaa upi, unamananisha?
Upo upapaa kwa maana ya ubaba/mukulu, upo upapaa kama pedeshee (Mutu ya pesa mingi), upo upapaa (udii) yaani utapeli! π
Nimemuona papa mtu ya kongoπΉπΉπΉ papaa umemuona lakini?
Sio vitu zako? Sema ukweli
Cancel order ya sneaker atatupiga matukio πΉπΉπΉπππππ Huyu nilikwambia hajatulia ukabisha
πΉπΉπΉπΉYeye ndo kanambia we hujatulia umeenda temple kwa monk
Mbaya huyo
Sema humu ukidate lazima ulambwe matukio we kwa jinsi wadada wa selfika mlivyo motooooooCancel order ya sneaker atatupiga matukio πΉπΉπΉ
πΉπΉπΉ ChinoUmenitibu matatizo yatamaa
Papaa yupo hapo hapo π₯π₯π₯Hivi unajua mimi sio kama Coca, Coca anapenda miili fulani hivi
mi napenda wenye miili mikubwaaaaa yaani wakubwa afu warefu mi nakuwa hapo kafupi kama kirikuu nipo tu nakomaa πππ
Growing up nilikuwa mwembamba sana so nikatengeneza obsession na wenye miili, Naogopa mwenye mwili mdogo tusijeonekana wanafunzi bureee tukazuiliwa kuingia lodge π€£
Je papaa yukoje?
haha! Mpaka Kuna mda vocal zinaisha! Nahisigi mistari yote nishaimalizaga!Hii mistari unampiga nani? πΉ
Hakuna wa kupinga..!!Ila wewe!
Tubaki hapo kwenye namba 2 na 3 πΉπΉ
Au wee unaonaje?
Ndio sehemu pekee chino hua anajimalizaπΉπΉπΉ Chino
Papaaa mwaga makuta, mwaga dolali, mwaga farangaβ¦ πΉπΉπΉHa ha ha. Matata ya mwasi (Lamomy), kosila tee. π
SEma kukumbatia mto pia Kuna Raha zake!hahaHapana nalala na simu yangu
Hukuwepo Boss.Lakini, si tulipatana kwamba ukiweka naweka. Au imekuwaje?
Hukuwepo Boss.
Lipa deni langu
Sasa elfu 5 ya nini wakati ushasema ana pesa? Mate tamaa hizo πΉπΉMate nitumie afu 5 nimalize kazi π€£
Sio tu lizuri afu lina hela, mi uchawa tu ananipaga Dollar Ila nayeee mwingiiiiiiiiiii! Mhh mhhh kaka zangu wa singida viwembe nyieeeeeee, humu zingepigwa basi tu βΊοΈ
The Monk
(ntafuta hii comment akishaisoma)
Kwa kweli unanitapeli πππππWewe pia jana hukuwepo tajiri.
Hizi ID sizimiliki hata Moja , Ghayo ni mwanangu kama ilivyo wewe na Chiwawa , sababu namuweza nikamtikisa kidogo akajaa kwenye mfumo akajikuta anashare screenshot ya IDs zake Jf baada ya kubishana nae kwenye Uzi Fulani sasa Mimi nikaziSave chap kwa haraka kabla hajafuta. πUlitakiwa uwe footballer mwanangu huo utege ππ
Vitru vyangu kabisa Ukiacha zile id zako za ghayo gengez..!! πΉπΉ
Sema kweli πΉπΉNimemuona papa mtu ya kongo
Mimi na yeye naona hatuingiliani kwakweli ππ
Mimi sio vitu vyake wala yeye sio vitu vyangu π€£
Yeye ni babu mwalimu wangu wa lingala
Papaaa mwaga makuta, mwaga dolali, mwaga farangaβ¦ πΉπΉπΉ