Selfika na JF: Snap it. Show it

Igweeeeeeee efu tano yangu ya kiingilio nifanye uchawa kama steve nyerere.

The Monk usipokuja hapa nakupigia kesho
 
Terminator 😹😹
Sasa id zote hizo za kazi gani?
 
Muache babe wangu magayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

(Mi naye ni polygamous bai nature, Spider nisamehe bebi 😘😩).
 
Igweeeeeeee efu tano yangu ya kiingilio nifanye uchawa kama steve nyerere.

The Monk usipokuja hapa nakupigia kesho
Elfu 5 itakupeleka wapi mate, acha tamaa za vipesa vidogo vidogo..!! 😹😹

Niweke hapo mi nakupa zaidi ya hiyo 😹😹

Em acha kumsumbua mi nakuzingua asije demu wake akatuwashia moto na sie tumlipue na mabomu kijiwe kifungwe bure..!!

Sema vitru zangu 😍😍
Li monk limepoaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…