Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu kwanza tunakushukuru kutujulisha yule mdada izo picha sio zake... Mimi mwenyewe nilijua ni zakwake..

ila mkuu naomba samahani kukuambia tumia werevu kidogo tu... Utagundua hizo picha sio za kizungu...

Tofautisha ngozi ya kizungu na hiyo kwenye picha
 
Kwakuwa ziko mtandaoni haimaanishi sio zake mkuu nikukosoe kidogo

Kuhusu rangi za wadada, wapo wadada humu wana rangi kali tatizo camera mzee

Quality ya picha za beyonce siwezi kujilinganisha nayo mimi kajamba nani, lakini uhakika ninao kuwa humu kuna visu kuliko hata mnavyoweza kufikiria

Asante mkuu kwa kutupenda hivyo hivyo na makunyanzi yetu,,, safi sana

Hannah Cresida Depal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…