Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
HahaahahahahahUnaowaona najua sikosekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaahahahahahUnaowaona najua sikosekani
AimennnHaleluyah
Hapana mkuu miguu ya huyo dada ni mizuri sana ata kama sio yeye... ila kama duniani kuna miguu mizuri kama hiyo basi ipewe sifa... Basi kwa upande wangu siwezi kusema uongo ili kuwaridhisha waafrika
Miguu ya huyo dada ni mizuri, ni mizuri sana kuliko picha zote zilizo postiwa hapa kwenye huu uzi
Ni kweli zile picha sio zake..ila ni nzuri na siwezi kuamini kama hawa wengine walio weka picha ni 100% za kwao ....
Kwaiyo bado nasimamia mawazo yangu katika picha zote zilizo wekwa hapa, nimependa miguu ya huyo dada
Asante kwa kuniita.Kwakuwa ziko mtandaoni haimaanishi sio zake mkuu nikukosoe kidogo
Kuhusu rangi za wadada, wapo wadada humu wana rangi kali tatizo camera mzee
Quality ya picha za beyonce siwezi kujilinganisha nayo mimi kajamba nani, lakini uhakika ninao kuwa humu kuna visu kuliko hata mnavyoweza kufikiria
Asante mkuu kwa kutupenda hivyo hivyo na makunyanzi yetu,,, safi sana
Hannah Cresida Depal
Wanawake Tunapenda kusifiwa hata mie nikiipata ya kunipa sifa nitaileta hapa kwani sh ngapi?Hivi mtu anajisikiaje kudanganye kuwa ni fulani wakati sio na hata hafikii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa na sisi wenye vidole kama tangawizi tusemaje??Sasa si pozi ntakaloweka lazima tuvidole tuonekane; au unataka nichambwe nkamu kuwa vidole vyangu vinafanana na matoke?
Nimeyaonawanasema ukitaka kumjua mtu had uone machoView attachment 1219732
Hehehee unaweza kutupia hizi swags za kiume nikugaie?Roho yangu kwatuuuuuu (kiatu)
Nyau mwenyewe huyuView attachment 1219723
Kuumbuka kwangu hakubadilishi ukweli ... Miguu ya uyo dada mizuri kuliko kiwiliwili chakoPic og za huku kwa mtogole zinajulikana kubali tu umeumbuka mzee baba
Bure tuWanawake Tunapenda kusifiwa hata mie nikiipata ya kunipa sifa nitaileta hapa kwani sh ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Kwakuwa ziko mtandaoni haimaanishi sio zake mkuu nikukosoe kidogo
Kuhusu rangi za wadada, wapo wadada humu wana rangi kali tatizo camera mzee
Quality ya picha za beyonce siwezi kujilinganisha nayo mimi kajamba nani, lakini uhakika ninao kuwa humu kuna visu kuliko hata mnavyoweza kufikiria
Asante mkuu kwa kutupenda hivyo hivyo na makunyanzi yetu,,, safi sana
Hannah Cresida Depal
Akuuuuuhebu tupia ule mwanya tena wewe mzungu mweusi
Boss, hauwezi kupambanisha vitu viwili ambavo ni tofauti kabisa.
Hauwezi kumpambanisha mzungu na mwafrika hata siku moja ili kujua yupi ni mzuri au yupi ni mbaya.
Ukoloni umeshaisha ila inaonekana akili yako umegoma kuitoa kwenye utumwa.
Nakukumbusha., ili kufanya comparison tafuta vitu vyenye sifa moja, mzungu kwa mzungu, mwafrika kwa mwafrika unless unaniambia wazungu ni wazuri kuliko waafrika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee uko vizuri sana!