Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pic og za huku kwa mtogole zinajulikana kubali tu umeumbuka mzee baba
Hapana mkuu miguu ya huyo dada ni mizuri sana ata kama sio yeye... ila kama duniani kuna miguu mizuri kama hiyo basi ipewe sifa... Basi kwa upande wangu siwezi kusema uongo ili kuwaridhisha waafrika

Miguu ya huyo dada ni mizuri, ni mizuri sana kuliko picha zote zilizo postiwa hapa kwenye huu uzi

Ni kweli zile picha sio zake..ila ni nzuri na siwezi kuamini kama hawa wengine walio weka picha ni 100% za kwao ....

Kwaiyo bado nasimamia mawazo yangu katika picha zote zilizo wekwa hapa, nimependa miguu ya huyo dada
 
Kwakuwa ziko mtandaoni haimaanishi sio zake mkuu nikukosoe kidogo

Kuhusu rangi za wadada, wapo wadada humu wana rangi kali tatizo camera mzee

Quality ya picha za beyonce siwezi kujilinganisha nayo mimi kajamba nani, lakini uhakika ninao kuwa humu kuna visu kuliko hata mnavyoweza kufikiria

Asante mkuu kwa kutupenda hivyo hivyo na makunyanzi yetu,,, safi sana

Hannah Cresida Depal
Asante kwa kuniita.
Kuna nini eti[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sasa si pozi ntakaloweka lazima tuvidole tuonekane; au unataka nichambwe nkamu kuwa vidole vyangu vinafanana na matoke?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa na sisi wenye vidole kama tangawizi tusemaje??
 
Kwakuwa ziko mtandaoni haimaanishi sio zake mkuu nikukosoe kidogo

Kuhusu rangi za wadada, wapo wadada humu wana rangi kali tatizo camera mzee

Quality ya picha za beyonce siwezi kujilinganisha nayo mimi kajamba nani, lakini uhakika ninao kuwa humu kuna visu kuliko hata mnavyoweza kufikiria

Asante mkuu kwa kutupenda hivyo hivyo na makunyanzi yetu,,, safi sana

Hannah Cresida Depal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Black is beauty jamani.

Mnanipa %ngapi?

Niwatakie alasiri mwanana.
gabourey-1.jpeg
 
Mzee toboa mazingira ya mzungu akipewa mwafrika mzungu hafui dafu, sie wakali mazingira yanatuangusha

Mfano ni best sakayo ile reception yake ni kali kuzidi ya role model wake basi tu mazingira
Boss, hauwezi kupambanisha vitu viwili ambavo ni tofauti kabisa.
Hauwezi kumpambanisha mzungu na mwafrika hata siku moja ili kujua yupi ni mzuri au yupi ni mbaya.
Ukoloni umeshaisha ila inaonekana akili yako umegoma kuitoa kwenye utumwa.
Nakukumbusha., ili kufanya comparison tafuta vitu vyenye sifa moja, mzungu kwa mzungu, mwafrika kwa mwafrika unless unaniambia wazungu ni wazuri kuliko waafrika.
 
Back
Top Bottom