spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Tupo rika moja
Ulikua una ufala mwngi!๐น๐น๐น
Kuna mdada wetu wa kazi mama alikua akisafiri kikazi basi anavusha kibwana chake.
Yeye chumba chake kilikua cha nje.
Ni wale wadada wakubwa sio wadogo, yule alikua na mtoto aliacha kwao..!!
Basi yule bwana akiingia dada anashindwa kujizuia anapiga mikelele hiyo, basi tukawa tunaenda kula chabo..!
Dada anaukatikia sio pouwaa..!!
Halafu kuna style moja alikaa hiyo nouma..!! ๐น๐น๐น
Basi na akili zangu fupi maza akirudi namind kweli, anatunyima kuangalia chudai..!
Steve nyerere kawapiga sana wasukuma na kawapiga Bongo muvi wenzie ๐
Chino bana chino wana man! ๐จHii ni ndoto ya Kila mwanaume
๐น๐น๐นUkuwadi hautaki tamaa, la sivyo matajiri watashtuka hawakupi kazi tena ๐
Mshenzi tu yule ๐
Shindikanaaaa wewe! Mtu akikuchukulia serious anapotea ๐ฉ
Hivi lini utaacha kuniandama ๐?Chica Gee na Steve Rogers , hawa ndo wanajikwaa pamoja.
Vitu vyangu kabisa ๐ฅฐTupo rika moja
Tukifanya hivi tutakuwa sawa na wale wa kina penseli and CO, Mi nikimkosa mtu hapa nasubiri tu aweke next time sinaga haraka.
Mi na Shes tuna mambo yetu person kabisa hayahusuani hata na JF
Mtsiewwww ๐น๐น๐นhivo ndo vya kusambazia umbea
Binti kiziwi namletea sketchers ya Y1400๐
Mimi aninatie tu binti kiziwi nmechagua hilo
Hivi lini utaacha kuniandama ๐?
Kuna mda unaishiwa maneno mkikuu! Nini useme. HahahaChino bana chino wana man! ๐จ
Una matope mpaka nioge kesho ๐นHaya basi weka mguu tajiri auone aweke sneaker yako kwenye ๐
Kama ulivyoishiwa maneno kwa Lamo, Shauri yako watakuwahi nyakunyaku wamnyakue๐Kuna mda unaishiwa maneno mkikuu! Nini useme. Hahaha
Usiache!!Siachii.
Una matope mpaka nioge kesho ๐น
๐ ๐ sawa endelea ila mimi sitaki kesi na watu humu Steve Rogers uje umwambie ndugu yakoSiachii.
Umegoma kuzeeka mkikuu!
Hee hadi wewe tena Dada๐โโ๏ธ?Usiache!!