binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Haujakosea.Nimekosea kumuomba arudie picha?
binti kiziwi umeniitia kitu gani hapa? Huu uzi hamuutendei haki, hapa inatakiwa picha sana, maelezo kidogo.Igweeeeeeee efu tano yangu ya kiingilio nifanye uchawa kama steve nyerere.
The Monk usipokuja hapa nakupigia kesho
Dah! Kwamba humu nnae goma na wewe ni Dada yangu? Katuga sana wewe.Hivi unajua The Monk kaka yangu naeza mgawa sasa hivi, Afu goma lake liko humu sema haliko selfika πππ Hii comment ntaifuta baada ya muda maana nakuwa nimesambaza umbea π€¦π»ββοΈ
Siri si siriπΉπΉkama hutaki watu wajue utakuwa na lako jamboWala, ningekuwa wa kuweka miguu kila sehemu, ningeshajukikana hapa. Wanawake wa humu ni mashosti, ukitongoza mmoja, wanakaa kama kijiji.
Kwa mfano ukimtongoza Mallerina, lazima Lamomy & Co zitajua. π
π€£π€£π€£π€£π€£π€£duhMamaaa mamaaah tunakufa huku kina binti Sayuni πππ
Papaa, Papaa, Papaa
Nimekuita mara ngapi?
Njoo vile uko na maringo mingi kumbe uko muzuri kama Fally Ipupa..!!
Inatakiwa mumama aliyekuweka kwa tumbo apewe zawadi ya kikwembe πΉ
Piga mabobo kwa papaaa π₯°π₯°π₯π₯
Weka vitu cocaπΉπΉπΉWachaa wee, πππ
Na wewe weka bossWeka vitu cocaπΉπΉπΉ
π€£π€£π€£π€£sasa vitamfaaa Lamomyhivo ndo vya kusambazia umbea
Binti kiziwi namletea sketchers ya Y1400π
Chat kwa picha tajiriNa wewe weka boss
Muda huu wako kwenye daladala wanaenda makazini
Hakukuwa na tishio la utekaji kama ilivyo sasaNakumbuka Babu kuna mwaka tulikutana pale Rombo Green View zaido ya Members 100. Na Jamiiforums kipindi kile ilikuwa na mijadala ya moto.
πππWeka vitu cocaπΉπΉπΉ
Nasikia ulipitaπππ
Watesi hawajakupaaa!! πππRudia picha kaka..
πππ hujapata badooo??Rudia sijaona uduguu