Ntaikuta kesho basi😹Namsubirii Brooh angu hapaa.
Jidanganye 😹Kijana nimemtazama kwa jicho la rohoni ni mtu safii kama theruji
Selfika jana sijakuonaNimekujaa uduguui, 😂😂😂
haha anadai na wachuchu wengine.Wallah nimelia sana umeandika kwa uchungu sana😢😢
Miaka 7 ?
Huyu binti jamani 💔
Kuanzia J3 mimi na wewe tufunge tatu 3 kavu ikishindikana tujiamulie mambo twende kumlipua kwenye chungu
😹😹😹😹Ariririiiiiiiiiiiii!!! Bebee tusiachanee, Tudumu milele, na mali zako uandike jina langu
😘😘😘
Coca em pita nataka kulala mie
Kweli tumekubali mpaka Mallelina mate yamemtoka..!! 😹😹Yaan shem lako ni 🔥🔥🔥
😂😂😂 najitengenezea mazingira km binti Urassa.😹😹😹😹
Niambie mkuuu😹Usilale, mimi na wewe hatujamalizana.
😹😹😹😹😹nilisema yupo vizuri bila kutokwq mateKweli tumekubali mpaka Mallelina mate yamemtoka..!! 😹😹
Naomba abaki na bwana ake mwenye weusi wa jongoo na pua km mshumaa.Kweli tumekubali mpaka Mallelina mate yamemtoka..!! 😹😹
Niambie mkuuu😹
😹😹😹 Ila chino!!Huu unaenda mwaka wa 7.
Kijana wa watu bado na uvumilivu wa hali ya juu.
Alinipitishaga kwenye mitihani migumu huyu mtoto! Afu akawa ana ni zoom ntafanyanje. Bado nikafaulu.
Uduguuu subirii kidogoo!!Selfika jana sijakuona
Nilipita kweupeeeePita basi...😊
Mshindweee 😹😹Wallah nimelia sana umeandika kwa uchungu sana😢😢
Miaka 7 ?
Huyu binti jamani 💔
Kuanzia J3 mimi na wewe tufunge tatu 3 kavu ikishindikana tujiamulie mambo twende kumlipua kwenye chungu
Hata asiponisikiliza tutajiamulia mambo huyu sio wa kumchekeahaha anadai na wachuchu wengine.
ShesRise_1 ila nimefurahi anakusikiliza naamini jambo litakuwa
Nilipita kweupeeee