Sema mi litanibana ๐น๐๐๐ usijarii uje uchukue tu mahi.
๐ ๐ umechukua mpaka ya u dalali๐๐๐uduguu wangu usimkuwadie kwa mtu, utapata lawama.
Mwenzio nimejichanganya kwa jamaa wa magogoni na udugu kazingua, cha udalali nishakula, sijui narudishaje, mniombee naweza kuwa mteja wa Fwele boi mda wowote.
๐๐๐๐
Harakati zangu ni endelevu kibaya ninaowapambania wana mbwelambwela
Yule mshkaji kapotea kama upepo usikute labda ana tatizo ๐ค
Wee Umepewa bure, mpe mwenzio bure ๐นUsilete I love you tia helaaaaa tia helaaaa๐ต๐ต
Mondy unyama๐ฅ๐ฅ
Wee nawe hilo li avatar la Zuma la kazi gani? Unaweza sema ni jibaba la kizee, kumbe kijana tu. KhaaahNikweli hiyo sehemu ni mbaya Kwa kweli ila ndio utafanyaje na mihangaiko ya Dunia๐
Na lazima upate tuu, ๐๐๐๐น๐น๐น Napenda harakati zenu za kunipambania nipate bwana..!!
๐น๐นshemeji yenu yupo mjueWee Umepewa bure, mpe mwenzio bure ๐น
Kwa nani papa pedeshee ๐คNapambanie na mie basi. ๐
Cha udalali nimekula tena kikubwa tuu,๐ ๐ umechukua mpaka ya u dalali
Kheri mie najitolea tu ๐ ๐
Ikishindikana sitaki lawama mie
Chivundu nitetee nawe๐นbasi
Mwambie asi mind๐น๐นshemeji yenu yupo mjue
๐๐๐๐ aaah wapiii!!Sema mi litanibana ๐น
Binti unamlia dhamani udugu wako una roho ya pakaCha udalali nimekula tena kikubwa tuu,
๐๐๐๐ woiiiiih
Kwani wewe huna mbinu za kuiachanisha miguu? Urudi jandoni ukafundwe ๐นNdio atabana miguu
Japo sijauona nikiuona nitadataJamaa kaelewa mzigo. ๐
Siachi hela ujue, alinizoesha babu miga kunipa hela kwenye harakati za kumpambania utamu, ko nishazoea yaani.Binti unamlia dhamani udugu wako una roho ya paka
Hayo ndo maneno sasa umeona Malle ๐น๐นKwa hiyo huna hata account
๐๐๐๐ uduguu wee ni chizii ujue?Kwani wewe huna mbinu za kuiachanisha miguu? Urudi jandoni ukafundwe ๐น