spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Suti uloona wewe umeona had surual?Mbona pale pametuna?? Kuna nini?
Msivae suti za kubana, hasa hizo suruali.
ππππ
ππππ ila Malle anapendaga kututafutia waja maneno, na mwenyewe kaweka kwa raha zake hana wasi wasi wala haogopiiMwenyewe nimeshtuka πΉπΉ
Lip gloss za midoli khaaaa..!!
Hii sio brand ni hizi za mdosho 47 ulfu tuBrand gani? Ninao msuti kama huo, wa Turkey.
Mi nitakua upande wa kikapu cha sadaka πΉπΉππππ mahubiri nitatoa mie, mgeni wa heshima jumuiani.
Hii sio brand ni hizi za mdosho 47 ulfu tu
Mbona hiyo sio yako, nime reply kwenye picha ya Chi.Suti uloona wewe umeona had surual?
ππππ nikimbie na kapu la sadaka lenyewe.Mi nitakua upande wa kikapu cha sadaka πΉπΉ
Check tenaMbona hiyo sio yako, nime reply kwenye picha ya Chi.
Kakushushua πΉπΉπΉAnacheza na akili yako huyo akili mingi anataka kujifanya anakupa ushindiπ
Mbona pale pametuna?? Kuna nini?
Msivae suti za kubana, hasa hizo suruali.
ππππ
Mi nitakua host, wewe mchokoza mada..!! πΉKunachosha mno mnoo!! πππ.
Aweke space tukwaruane kwa sauti humu. Lol
Lonya tu hio suti haina issueMbona imekolea sana mzee, au filta... inakuja kuja kama Giorgio Arman au Alberto Celin.... ila ni kali kwa kuvimbia viungani na corporate niggaz..
Uko vizuriiiiMigambuti hiyoππ
Nina wasi wasi na bebee wake, ukute anatokea itilima shinyanga huko.Uduguu ntakubondaa πΉπΉπΉ
Lonya tu hio suti haina issue
πΉπΉπΉ kijana kabarikiwaMbinguni utaona view once πΉπΉπΉπΉπΉ
πΉπΉπΉ Atanitoa rohoNa Ulinzi uko wa kushatoo!! πππ
Ushindwee wee tu. Lol.
Kanionea bure kunishushuaKakushushua πΉπΉπΉ
Ni suala la muda lilikua..!!
Udugu wangu coca wala hakubisha anajua mi sinaga kazi mbovu..!!
Mje mniungishe waist chain πΉPita basi nikuone mahi uduguu. πππ