100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Pita kaka nipo nasubiri...Niko hapa Brooh, leo napita naked kwa ajiri yako, nataka kusuuza mtima wako.
Niutoe huo upwekee, πππ
ππππ sikumbuki em nikumbushe kwani.
Unachelewa sanaa, tukutane baadae.Pita kaka nipo nasubiri...
Asante sana mtani β€οΈππWewe ni msafi, nakupenda buree mahi.
Usijali nitapita UsikuJamni mbn mnapitaga kama nimesinziaππsina bahati.kwa Chica mimi
ππAsante sana mtani β€οΈππ
Kaka unazingua, weka picha...Unachelewa sanaa, tukutane baadae.
Njemba ilivokaa kwa utulivu kama mtu vile
Ahsante pia Kwa kumuona dada yangu.Asante MawardatDellapina nimemuona mzaa chema
MashaAllah β₯οΈAhsante pia Kwa kumuona dada yangu.
Kisa kuku entertain ndio utake kunipanda kichwani? Unanijua nikibadilikaga, nimekuambia baadae.Kaka unazingua, weka picha...
Mlongo sijakuona, pita tenaa bhana.Ahsante pia Kwa kumuona dada yangu.
πMuda ulireply ungeweka na picha, unachelewa bana..!!
Ni mama yanguπ,sio mieMlongo sijakuona, pita tenaa bhana.
Wee kumbee!!Ni mama yanguπ,sio mie
Kaka tuache ugomvi...Kisa kuku entertain ndio utake kunipanda kichwani? Unanijua nikibadilikaga, nimekuambia baadae.
Bila mie hutembei kabisa Mjini JF. Unataka nikupeke mjini eeeh??Kaka tuache ugomvi...
Weka picha unaweza shangaa ukapata pisi kali humu humu..