Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Tutakuenzi na mbege..!! 😹Kabisaa usimame huku ukichamba koromeo sasa😅
Tutakuenzi na mbege..!! 😹Kabisaa usimame huku ukichamba koromeo sasa😅
Na nina wakoma kweli😅Utukome 😹
Hahaha pombe ndio kila ktu lamoTutakuenzi na mbege..!! 😹
Ukweli 😹Unayakuza ajabu Chivundu anakuunga mkono mtaingia mbinguni mnatambaa
Ndio, tena unaona kabisa mtu anarekebisha suluari mambo yameharibika..!!
Nina bahati mbayaUkweli 😹
Anza weweWekeni picha 😅😅 tupieni vitu kabla pombe hazijakata😅
Basi wewe una upungufu, fanya haraka umuone dr..!!Kama nguvu za kiume ndio zipo hivyo bora mie nikose tuu! Yaani hata ukiwa kwenye daladala, uone kichuguu kitu kiinuke!!
Hahahah wanaume tunafahamika tu, hapa wapite warembo tu😅😅Anza wewe
Pole sana, Malle yuko wapi?Nina bahati mbaya
Last time ulisema mwakani saivi umebadili msemo
Sitaki hata kumsikia nimeitwa mzeePole sana, Malle yuko wapi?
Daladala pyuuuuu sio usafiri jitu linakazana kukusogelea 🤮🤮Kama nguvu za kiume ndio zipo hivyo bora mie nikose tuu! Yaani hata ukiwa kwenye daladala, uone kichuguu kitu kiinuke!!
Haya sawaWewe ukiwa tayari tuma email yako, nikutumie tutorials zikuandae. 😊
Basi wewe una upungufu, fanya haraka umuone dr..!!
Daladala pyuuuuu sio usafiri jitu linakazana kukusogelea 🤮🤮
WachangamkeManeno mengi vitendo hakuna 😅 ebu selfikeni hapa tutoe maksi😅
Maneno mengi vitendo hakuna 😅 ebu selfikeni hapa tutoe maksi😅
Bwashee tupo rada tunatoa hitimisho na hatupendelei 😅Wachangamke