min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hahaha mule mule tu😅Kwahiyo tushaunganishwa na wachaga? 😹
Hahaha mule mule tu😅Kwahiyo tushaunganishwa na wachaga? 😹
HawafahiWanafaa kuolewa?
Najuta 🤣🤣🙌🏼
Haina shida nitasimamia wosia wako..!!Mnizike tu , ila msisahu bia zangu😅
SijamuonaAhsante pia Kwa kumuona dada yangu.
Kabisaa usimame huku ukichamba koromeo sasa😅Haina shida nitasimamia wosia wako..!!
Umebeba bebaaa mkungu wa Muleba (in baba zuri voice) 😹😹Shindwaaaa heaven gelo 🤣🤣
Acha kutupondea 😹Wapo rada bwashee, ila akili yako isome fasta kama dungu la mhindi la kubeti😅
Macho hayana paziaIle ilikua special kwa coca basi tu ni vile nyie mlijiamulia mambo kuangalia
Hata sijui PapaaUnajuta wewe kuwa mzuri, au unajuta kuweka picha unependeza?
Hahahha wasaka hela siwezi wapondea😅😅Acha kutupondea 😹
Hata sijui Papaa
darasa tunaanza lini
Inaitwa kutuna kwa k
Unayakuza ajabu Chivundu anakuunga mkono mtaingia mbinguni mnatambaaUmebeba bebaaa mkungu wa Muleba (in baba zuri voice) 😹😹
Ndio, tena unaona kabisa mtu anarekebisha suluari mambo yameharibika..!!Kwa iyo kuna watu wanadinda huko barabarani kwa kuona vichuguu? 😁
Utukome 😹Hahaha mule mule tu😅
Last time ulisema mwakani saivi umebadili msemoNi wewe tuu, muda wako. Ukiwa tayari nambie.