Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hao ni chaputa, mwanaume mwenye nguvu zake, anazitunza. Sasa hapo atakusogelea alifika anakokwenda anaenda kupiga punyeto.
Vyovyote nitakavyoeleweka niseme tu
usafiri wa umma nchi Tanzania ni miongoni mwa usafiri wa hovyo zaidi hususani daladala kama umewahi kupanda au hua unapanda utaelewa ninachosema

Kuna boda boda mshikaki ukitangulia mdada utaona jamaa lilisimama muda mrefu linakuja kupanda

Aloo kheri mtu uangalie namna ya kupata usafiri ikibidi uingie mfukoni kwa sisi tusio na ndinga
 
17922474135134388032228607063960.jpg
 
Uwe unakataa kutangulia, mwambie yeye akae mbele umbane.
 
Ulishasema sisi wabovu, unataka uone nini tena...au ulikuwa umelewa
Noo sio wote list ya warembo nilitoa pia😅 sio kwamba ni wote ila kwa nilio bahatika kuwaona, hivyo bado nina nafasi ya kuona , na ni kwa jicho langu sio kwa wote.
 
Back
Top Bottom