Akhu! Kichuguu bana ๐นHakunaaaa leo nakuwekea sikio๐
mind you na hizo ni tbt!! Sasa itakuwaje akilishika file la picha mpyaHalafu alivyo na makusudi akaliweka nyuma ili macho yawatoke..!! ๐น๐น๐น
Kuna yule mwenzie sitaki kumtaja wanadai wapo ulaya lakini characters ni za yombo kwa limboa๐๐Red black kanichekesha sana leo ๐น๐น
Hiyo lini hiyoooo?Akhu! Kichuguu bana ๐น
Kuna mda lazima uchanganyikiwe uone kipi maana Kila kitu ni fireHutaki ulimi๐
Hapo chacha ๐น๐นmind you na hizo ni tbt!! Sasa itakuwaje akilishika file la picha mpya
Wazee wa abroad ๐นView attachment 3693854
Mbeya Uhindini
Wale wote ni sunche na kapeto ๐น๐นKuna yule mwenzie sitaki kumtaja wanadai wapo ulaya lakini characters ni za yombo kwa limboa๐๐
toto halichoshi kuangalikaHapo chacha ๐น๐น
Em aweke new file la kichuguu..!!
Ukithimama nchale ukikaa nchale ๐Kuna mda lazima uchanganyikiwe uone kipi maana Kila kitu ni fire
Baaasii kuna nini tena ๐Wale wote ni sunche na kapeto ๐น๐น
Inategemea wakuu huu mji mkubwa ๐๐Kuna mwingine huko nimetoka kumchamba alikua anajifanya yuko USA sasa kapata ajali kajisahau yuko kusema kadondoka na tuk tuk..!! ๐น๐น๐น
Nimemuuliza kwa hiyo ajali bila Shaka ni bodaboda, vipi NYC kuna boda?
Kaniambia lini alisema yeye yuko USA? Kwanza yeye yupo Germany..!!
Nikamletea uzi wake aliounzisha mwenyewe mwaka huu akisimulia alivyotua NY kwa mara ya kwanza..!! ๐น๐น๐น
Mpaka sasa hajarudi, mkinionea red black mmwambie lamo namtafuta sana..!!
Ukute ndio hizi species zinatusumbua kuomba elfu kumi ya kula pm๐คฃ๐คฃKuna yule mwenzie sitaki kumtaja wanadai wapo ulaya lakini characters ni za yombo kwa limboa๐๐
APo baadae nipate ya liguuu tuUkithimama nchale ukikaa nchale ๐
Huu mji una ntu na ntu ๐ ๐ ๐Inategemea wakuu huu mji mkubwa ๐๐
Muda si mrefu nimepita Morroco ama hiyo tunaiitaje ShesRise_1
Worry less shem hanshamuu๐APo baadae nipate ya liguuu tu
Morocco ya magomeni ๐น๐นInategemea wakuu huu mji mkubwa ๐๐
Muda si mrefu nimepita Morroco ama hiyo tunaiitaje ShesRise_1
Nenda kwenye uzi wake ukachekeBaaasii kuna nini tena ๐