Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Natumia Tecno shemeji yangu hivyo mnivumilie mpaka pale nitakapopata Hela ya simu mpya. Mbali na hapo labda unikopeshe kwenye zile Hela zako za vijora nipate simu yenye kamela Kali. Wewe ni shemeji yangu hivo niamini.
Kitu sijawahi kufanya ni kukopesha..!!

Mi mwenyewe winga shem niko mabovu 😥
 
Mawinga mna hela niuzie IPhone kumi na moyo kuna mateni yanazaa hapa 😅
Wewe wa kutumia iPhone eleven kweli? 😹😹
Huwezi kuelewa wewe wa kishua hupandi daladala

Iko hivi ukifika Morocco kama unatokea kinondoni si kuna mataa pale mkono wa kulia njia ya kwenda msasani namanga sijui kariakoo sina uhakika sana 🤣🤣

Mkono wa ku shoto kama unaenda kijitonyama sijui makumbusho bana elewa hivyo hivyo 😅😅

Then sasa ukija kuleta skincare unaacha zote hizo unayoooooooka unavuka mataaa kuna makao makuu ya Bolt hapo sio wewe nyooshaaa 🤣🤣
Mbele kidogo kuna njia panda hapo hiyo njia moja inaelekea ubalozi wa marekani nyingine hapo hapo masaki nadhani ni upande wa kulia
panaitwa ubalozi sasa wewe huko usiende nyooka tu kuelekea mikocheni kituo kinachofata kuna shopaziiiiii kituo kinaitwa kisiwa ni hapoooooooooooooo hapoooooooooooooo🤣🤣🤣

Hili Paragraph usiponiletea 🙆‍♀️💔💔💔
😹😹😹 Maelezo marefu nitapotea..!!
Au unasema mwananyamala kisiwani?
 
Back
Top Bottom