The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 967
- 1,971
Hao wote ni ndugu zako. Acha kunigombanisha na mke wangu.😅cocastic cazee wako kashamaliza ujenzi na umeme wa REA kakuwekea na dirisha za aluminium ushindwe wewe sasa kuishi Kigoma 😹😹
Hao wote ni ndugu zako. Acha kunigombanisha na mke wangu.😅cocastic cazee wako kashamaliza ujenzi na umeme wa REA kakuwekea na dirisha za aluminium ushindwe wewe sasa kuishi Kigoma 😹😹
Umtakii mema dada yangu ShesRise_1 hapendi pirikapirika za kulea mapacha .Huyo ukijimix watoto mapacha unapata si umeliona dume la simba hilooo 😹😹
Nyinyi wote ni ndugu pamoja na cocastic ni vizuri muwe mnajuliana Hali.Ntilu mwandiga wanasemaje?
Na Bado anatuambia yeye ni mkulima.
Na uvuvi pia akamsaidie. Kama hajui atajifunza huko huko kigoma.Kabisa, mvua zinaaanza akamsaidie kupanda mahindi..!!
Yap na anatokea Mwanza Kila Picha zake humu utamuona yupo kando ya ziwa anakula upepo wa maisha. Hafananii kabisa na mkulimaWakulima hawawezi kuwa kama yeye mkuu, mtoto soft huyo.
Yap na anatokea Mwanza Kila Picha zake humu utamuona yupo kando ya ziwa anakula upepo wa maisha. Hafananii kabisa na mkulima
Hivi mrembo kama huyu Mallerina Kuna wanaume wanampangisha chumba? Aisee hapana?! Huyu mrembo anahitaji mwanaume wa kumuweka ndani. Mjengo wa Bure na huko kigoma karibu kila kitu ni Bure.We bana tulia hapo, shem anaonekana mambo safi uhakika wa kulala upo ana mjengo mkali..!! 😹😹
Sasa mng’ang’anie Mr mandula uishie kuitwa mpangaji na wakati mjengo wa bure upo..!!
Dada yangu! Mbona ngumi Tena?😅😅😅
Mie siwezi nataka wale wakula chips
Na mayonnaise
Kwanza ulienda wapi?
Kichugu wich namiliki mashavu mpaka mwajuma nichokonoe haishi kuanzisha nyuzi 😅💔
Saivi amebakiza kuvaa kikuku na ushanga + kijora maana ngebe zake sio za wanaume kamili nahisi ni kama
Simba haina doumbia
Watu wapo kujenga hoja yeye anataka kuingia uwanjani kumanua vidole hivi 👌
Mallerina umesikia 😹😹Hivi mrembo kama huyu Mallerina Kuna wanaume wanampangisha chumba? Aisee hapana?! Huyu mrembo anahitaji mwanaume wa kumuweka ndani. Mjengo wa Bure na huko kigoma karibu kila kitu ni Bure.
Tukisema tumuache atazeekea mjini na kuishia kupata Hela ya kula. Na wakati mwanaume wa kujenga nae maisha yupo Hapa. Ntiluseswa
😹😹😹😹 Na kukamua mafuta ya maweseNa uvuvi pia akamsaidie. Kama hajui atajifunza huko huko kigoma.
daah kama kuna mahali nilikukosea unisamehe siamini macho yangu😁Kichuguuu hichoooo wale wa masjala wahini upesii🤣🤣🤣
Oh shemeji, Leo nipo free somewhere nikipata wine na wifi ya Bure😎. Karibu.Shem vipi? Naona notification kama zote..!!
Kwenye ukoo wetu mabinamu tunaoana hivyo ntilu anaweza kumuoa coca 😹😹Hao wote ni ndugu zako. Acha kunigombanisha na mke wangu.😅
Shem pic haionekani vizuri em jitahidi kuweka nyingine ambayo iko clearOh shemeji, Leo nipo free somewhere nikipata wine na wifi ya Bure😎. Karibu.
Kaka angu wananichokoza si unajua nilivyo mpolee🤗Dada yangu! Mbona ngumi Tena?😅
Nitachinja ukoo wenu wote asibaki mtu. Sasa nisikie mnamuozesha mke wangu kwa mara pili.Kwenye ukoo wetu mabinamu tunaoana hivyo ntilu anaweza kumuoa coca 😹😹
Ndio mi sitaki bana 😒😒Umtakii mema dada yangu ShesRise_1 hapendi pirikapirika za kulea mapacha .