Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi mrembo kama huyu Mallerina Kuna wanaume wanampangisha chumba? Aisee hapana?! Huyu mrembo anahitaji mwanaume wa kumuweka ndani. Mjengo wa Bure na huko kigoma karibu kila kitu ni Bure.

Tukisema tumuache atazeekea mjini na kuishia kupata Hela ya kula. Na wakati mwanaume wa kujenga nae maisha yupo Hapa. Ntiluseswa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣aliewaambia natak kuolewa nani ??!kwanini mnataka nizeeeke bila kufaidi ujana😹wangu
 
Kuna mkaka alikua anakasirika nikisifia wanaume wengine, anataka nimsifie yeye tu! 😹😹

Mistari yangu ikamfanya aone kaokota dodo chini ya mnazi, alivyoona kila anayeselfika namsifia acha achukie bana..!! 😹😹
😹😹😹😹
Kwanini mimi ulinipondea vile.viatu afu.kila mtu.akiselfika unamsifia tu humu
 
Back
Top Bottom