The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 967
- 1,971
Natumia Tecno shemeji yangu hivyo mnivumilie mpaka pale nitakapopata Hela ya simu mpya. Mbali na hapo labda unikopeshe kwenye zile Hela zako za vijora nipate simu yenye kamela Kali. Wewe ni shemeji yangu hivo niamini.Shem pic haionekani vizuri em jitahidi kuweka nyingine ambayo iko clear
Nafahamu Hilo dada yangu Hupendagi Heka Heka kabisa๐Ndio mi sitaki bana ๐๐
Nataka sample ya wala chipusi๐คฃ
cocastic please nitunzie huyu mtu ๐ฅน๐๐Natumia Tecno shemeji yangu hivyo mnivumilie mpaka pale nitakapopata Hela ya simu mpya. Mbali na hapo labda unikopeshe kwenye zile Hela zako za vijora nipate simu yenye kamela Kali. Wewe ni shemeji yangu hivo niamini.
Yes ๐๐Nafahamu Hilo dada yangu Hupendagi Heka Heka kabisa๐
Kijana tulia mambo madogo hayo mie roho nyeupeeeedaah kama kuna mahali nilikukosea unisamehe siamini macho yangu๐
Mkeo hata mahari hujalipa wee vipi ๐น๐นNitachinja ukoo wenu wote asibaki mtu. Sasa nisikie mnamuozesha mke wangu kwa mara pili.
Tunalima mahindi njoo ushuhudie miujiza mkuu.. mambo ni mengi mno!Mkulima gani wewe na ulivyo humble. Acha kutuchora. Vipi habari za hapo Kanda ya ziwa?! Mnatunyima Nini huko? Aisee na sisi mtupatie.
Kitu sijawahi kufanya ni kukopesha..!!Natumia Tecno shemeji yangu hivyo mnivumilie mpaka pale nitakapopata Hela ya simu mpya. Mbali na hapo labda unikopeshe kwenye zile Hela zako za vijora nipate simu yenye kamela Kali. Wewe ni shemeji yangu hivo niamini.
Boda lilitaka kumchinja ๐น๐นKijana tulia mambo madogo hayo mie roho nyeupeeee
Unaendelea je kwanza toka upate ile dhahama ukiwa kwenye bodaboda
Dah nimecheka lol ๐Boda lilitaka kumchinja ๐น๐น
๐ฅ๐ญ Shem unanichamba kisa sijaolewa jamani..!!Upate mume Sasa udugu wako naye apumue sio kwa mtaja taja huku unamtishia amani na wakati mwenzio nipo naye ametulia na ndoa yake.
๐น๐นkama unaweka weka hapa tuone๐นNitakuwekea papa shauri yako ๐น๐น
๐น๐นmtoto wa mjomba huyo kabisa labda nikuconnect nae...Huyo huyo sukari ya warembo wa JF
Kibenten mzoefu wa mashangazi wa JF ๐น๐น๐น
Wewe wa kutumia iPhone eleven kweli? ๐น๐นMawinga mna hela niuzie IPhone kumi na moyo kuna mateni yanazaa hapa ๐
๐น๐น๐น Maelezo marefu nitapotea..!!Huwezi kuelewa wewe wa kishua hupandi daladala
Iko hivi ukifika Morocco kama unatokea kinondoni si kuna mataa pale mkono wa kulia njia ya kwenda msasani namanga sijui kariakoo sina uhakika sana ๐คฃ๐คฃ
Mkono wa ku shoto kama unaenda kijitonyama sijui makumbusho bana elewa hivyo hivyo ๐ ๐
Then sasa ukija kuleta skincare unaacha zote hizo unayoooooooka unavuka mataaa kuna makao makuu ya Bolt hapo sio wewe nyooshaaa ๐คฃ๐คฃ
Mbele kidogo kuna njia panda hapo hiyo njia moja inaelekea ubalozi wa marekani nyingine hapo hapo masaki nadhani ni upande wa kulia
panaitwa ubalozi sasa wewe huko usiende nyooka tu kuelekea mikocheni kituo kinachofata kuna shopaziiiiii kituo kinaitwa kisiwa ni hapoooooooooooooo hapoooooooooooooo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hili Paragraph usiponiletea ๐โโ๏ธ๐๐๐
๐น๐น๐นDah nimecheka lol ๐
Mwache mshikaji wangu
Nishaweka umechelewa ๐น๐น๐น๐นkama unaweka weka hapa tuone๐น
Huyo pambana naye wewe akujazie mindula, mi nawataka kaka zake..!! ๐น๐น๐น๐นmtoto wa mjomba huyo kabisa labda nikuconnect nae...