Nafurahishwa na pirika zako za kunidanganya..!! πΉπΉRoho yangu mie!! Afu Kila siku unazidi kua mpya!!
Hapa vyuma sawa vitapostiwa sawa ilaa... Acha nisiseme
Noma sanaMimi binafsi yangu sijawahi zalilisha kiumbe chochote humu ndani.
Ila kinachowaponza ke wengi humu ni ulimbukeni wa mahusiano; hapa chino nisiwe mnafiki;
Na me wengi humu ndani ni washamba wa_ k_!! Akikula lazima aje ajimwambafy;
Nakazia πΉMimi binafsi yangu sijawahi zalilisha kiumbe chochote humu ndani.
Ila kinachowaponza ke wengi humu ni ulimbukeni wa mahusiano; hapa chino nisiwe mnafiki;
Na me wengi humu ndani ni washamba wa_ k_!! Akikula lazima aje ajimwambafy;
Si unajua sahivi mi kwako sipingi;Noma sana
Tupia basi fotooπ
Mchuchu una bahati wewe! Una lichino halijui hata kutangaza; jipige kifua hebuNakazia πΉ
ππππehe nipeni mrejesho je mlifikia wapi?
spidernyoka huyu mallerina ni koloni lako la kitambo au ulikoswa ushahidiπ π
πΉπΉsiku ukitokea nakuja humu kuwaomba mnipigie kura moja kwa moja
Nasubiri nimekaa kwa utuoSi unajua sahivi mi kwako sipingi;
As instructed bey
How.muchhivi bado kuna watu wanaambukiza/kuambukizwa UTI bila kujua?, au wengine wanapoteza muda kwenda maabara kupima UTI?,, ishi kidigital zaidiπ
π€£π€£π€£una mambo wwπΉπΉπΉ Unamsimanga bure katekista mtoto halali na hela kumbe wote mpo sawa..!!
Haya weka pic spider aone ni wewe au kakufananisha?
π€£π€£π€£kwanini umharibie uzi wakeNimefika ndo naingia nimetoka kwa da Mau πΉπΉ
Haya kuna mpya gani huku?
Nilikuwag namfananisha lamomy na Demis sanaaaaa ila kumbe watu tofauti..Kweli hakuna wageni mpaka Mallerina nilikua najua ni Gen z wa jf mpya naye anamjua demiss.
Sema kipindi kile aliijua sana kuichangamsha jf! Alikua hapoi.
Alikua haringi dada wa watu alikua mcheshi kwa Kila mtu! Mara ya mwisho aliolowa na Godume ndoa haikuchukua hata siku saba wakaachana.
Ndiyo mzee wa kilenge Mshana Jr akamuopoa nakumuweka ndani;
Mziki wa Manengelo ulikua ni wa π₯π₯π₯Kilichomponza Demiss nasikia ni mashauzi na kujiona kila kitu anajua. Anasema ana good life lakini anaburuzwa kwenye lodge za 10K na mabaharia wa JF. Hapo ndilo alipounguzia picha. Sawa tu na mwingine wa kuitwa Manengelo aka Wangari Maathai. Huyu mpaka na picha zake za uchi zilivuja nasikia. Anajifanya anajua kila kitu michongo ya hela ndefu kumbe wa kawaida tu. Halafu anamsema mumewe kuwa ni mlevi na hana nguvu za kiume dah! Naye ilibidi apogee mazima labda kama akirudi kwa ID mpya.
Mashauzi ndo huwa yanawaponza watu lakini mtu ukikaa kwenye uhalisia wala hakuna mtu atakusumbua πππ
ππππ Noumaa sanaaa!!Kwa Experiance yangu ukishakubali kuliwa jf we kua low key tu!! Unakua huna jipya!!
Humu waendelee kugawa at their own risk. Humu watu wana sifa unakuta umeshusha zako Uzi wako mkali huko intelligence au siasani.
Anakuja mtu anakuja mtu anakuambia hamna kitu Malaya tu!! Hapo kama umeshaliwa kaa kwa kutulia tu usijitutumue ukijitumumua kumbe mtu kashamwagia ma Kila kitu yake.
Kikubwa tunzeni hizo maliasili zenu mlizobarikiwa
πππ chino unapigaje leo kwani? Awwww, mambo nayoyapenda hayaa.Mimi binafsi yangu sijawahi zalilisha kiumbe chochote humu ndani.
Ila kinachowaponza ke wengi humu ni ulimbukeni wa mahusiano; hapa chino nisiwe mnafiki;
Na me wengi humu ndani ni washamba wa_ k_!! Akikula lazima aje ajimwambafy;
We mwenyewe unajua ukiliwa faili lako fasta anatumiwa shoga Ako lamomy na 100likes ni kukaa kiturist tuπππ chino unapigaje leo kwani? Awwww, mambo nayoyapenda hayaa.
Nasikia kuna member humu umempa ujauzito..Mziki wa Manengelo ulikua ni wa π₯π₯π₯
JF ilizizima ile siku, ugomvi ulianza baada ya Manengelo kutamba kuwa ametoka kuuza madini na kupata 140M, basi full kutamba, kumbe kuna jamaa humu alikua na rafiki traffic anasimama kibaha kwa mathias na ndio sponsa wake huyo manengelo, na waliwahi kumpeleka kwenye mapagale huko Morogoro Tanesco Nyuma ya Chuo cha MUM ili wakamlw mande, wakaamua kumuacha tu na kumsamehe. Bhana wee,
Kiliwaka hapo, full maubuyu anajifanya mchaga wa Moshi, kumbe mpogoro wa Ifakara
ππππ Alooooooh.