Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,774
- 26,911
Asante sana ccy, unaendeleaje?
Tumpe vanga akatike vizuri ๐น๐นAtakua na kazi ya rusha roho humu, aloooh
๐๐๐
Haha!! Fanya ivoAu sio
๐๐๐ uduguu unanichekesha shughuli ya juzi, vidampa walitaradadi na khanga full kunengua nyonga, mabasha wao wanawatazama runinganiTumpe vanga akatike vizuri ๐น๐น
๐๐๐๐ yaani sipati picha angenikamataa, Alooooh.Babu miga sio shida zake, ni kuwapelekea moto na kuwafotoa mwanzo mwisho ๐น๐น๐น
Typing error bana! Mi 5 bana.Basi tufanye elfu moja kabisaaa ๐น
Tulia wewe๐Haha!! Fanya ivo
Miongoni mwa viumbe navyotamani kuviona Kila mda selfika trust me you are thereTulia wewe๐
๐ ๐ una bidiii mwenyewe kunilainishaMiongoni mwa viumbe navyotamani kuviona Kila mda selfika trust me you are there
Habari mkuu.
Lamomy nipe kitumbua basi..Si ule boga lako we kichaa nini..!!
Habari mkuu.
Pisi za kwa mzansi umezichapa mpaka umeisahau selfika
Katika vitu ambavyo hua nashindwa ni kuidanganya nafsi yangu.๐ ๐ una bidiii mwenyewe kunilainisha
Tuko poa wige, na wewe ulipotea sanaa, vipi au ulizamia huko South?
Aiseee inavutia sanaKatika vitu ambavyo hua nashindwa ni kuidanganya nafsi yangu.
Wengine wanakufa na vihoro si Bora chino nasema kweli yangu
Huko siku nta timba tu kufanya sex tour!!๐
Tuko poa wige, na wewe ulipotea sanaa, vipi au ulizamia huko South?
Watu wamepoa sana ujueAiseee inavutia sana