MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
muchasSpain brother
Swali zurii, tuma full baba ntachambua mwenyewe nnavovitaka[emoji1] [emoji1]
Unitag akijibuTeh njia ya kwenda pande zipi?
Kwani hujaachaga utani kaone kwanza nlitegemea utetee nnavyo baguliwa dhana haimfungi mtu nitetee basiSisi ambao ni team.....tunaogopa magobole.
Kwa hiyo kwa mguu ule lazima kuna gobole sio? [emoji28][emoji28][emoji28]
Eti eeh?basi sawa nikuone basiHiyo nimeiona mahali, halafu umekuwa mweupe sana.
Hamna magaga wewe haujawaelewa[emoji28]
Ila unaningizia bhanaa picha nimepiga vibayaKwa macho yangu ya rohoni, ule unyayo una kitu kizito
Kureeeee
Mguu haudanganyi uleIla unaningizia bhanaa picha nimepiga vibaya
Bienvenido hermanomuchas
gracias por la información
Ha ha haa ujue mimi jinsi nlivyo zoea wewe tangulia tu ntakukuta ndani.Namsubiri hapa njia panda
Yaani we utafanya tusiopaka lipstick tusisifiwe
Miminimama usipopata mume leo kaogee baharini kwa pic za leo mpaka saiv kumi na robo alasiri umetikisa.....tunaendelea
Siiioni eti
Hem acha basi nlitegemea uweke cv zangu sawa ni siwe na matabaka ndo unaharibu ujue nimekukosea nini?Macho yako ya rohoni yapo sahihi.
Hauoni anasisitiza niulizwe mimi? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mimi ndio najua.
Hahah aisee,,, bhasi kuanzia leo tambua kuwa ni ya kiumeHalafu hata sina sababu ya msingi ya kufikiria ni wa kike,hii ID tu nikionaga najua ni ya kike [emoji28][emoji16]
Ukanigandishe? Twende mguu kwa mguuHa ha haa ujue mimi jinsi nlivyo zoea wewe tangulia tu ntakukuta ndani.