Selfika na JF: Snap it. Show it

Na tusiokuwa warembo tunaruhusiwa kuja??

Halafu mbona hautukaribishi Msata sasa??
Warembo na mabest wote ruksaa... Sina ubaguzi... Msata hampendi kuja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha hamna natamani sana kufika ila sina mwenyeji tena juzi jumamosi nilikuwa karibu tu, kale kapicha nilikokatuma humu nilikapiga juzi ile ile na pale nilikuwa new bagamoyo beach resort.
Oh dah.. Ila siku ile sikuwepo nilikuwa dar
 
Haaa nakielewa ila hapo ndiyo sijaelewa yaani kwamba ukiulizwa umeamkaje unajibu kidogo??
Ndio.
Hii mwalamusha sanasana inatumika asubuhi.
Unajibu panandi.

Mwaghona Ni Muda wowote unapokutana na mtu kwa Mara ya kwanza.
Unaweza ukajibu hivyohivyo "mwaghona" au ukajibu" ena"

Pia zinaweza kutumika zote kwa pamoja..ikianziwa na mwaghona
Ukijibu,msalimiaji anaongeza na hiyo "mwalamusha" unajibu "panandi"
Anaweza kuongezea "ndagha" unajibu "ena"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…