Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Sangoma usiniroge
.
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mimi huyoAcha utani ujue mimi huwa sijui kutofautisha utani na kweli.
[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndiyo maana App ya JF siku hizi imekuwa nzito.Ndio mimi huyo
[emoji109][emoji123][emoji119][emoji119]you have my respect umeitendea haki post... Nitamroga Atoto tu anayenibania kwa mdogo wake cute bSangoma usiniroge. View attachment 1217189
We Kobe mzee unataka kusema nini tena!! Kwamba huna Kitambi😂😂Wewe Punda Kihongwe mimi ni adui namba moja wa vitambi, usinitag kwenye uzi wa mtu mwenye kitambi siku nyingine.
Ukiweka na Kitambi chako ndio haifunguki kabisaNdiyo maana App ya JF siku hizi imekuwa nzito.
@Santino mwenyewe...ni wewe kweli???Sangoma usiniroge. View attachment 1217189
Nitokee hapa na macho yako kama mayai ya samaki. Ulinipa mafuta nikawa na kitambi?We Kobe mzee unataka kusema nini tena!! Kwamba huna Kitambi[emoji23][emoji23]
Usipotoshe umma
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Nitakublock kabla ya jogoo kupanda mtungiUkiweka na Kitambi chako ndio haifunguki kabisa
hata hivyo haujaamua kwa dhati maana bdl utuonyeshe sura unatuonyesha viungo Kama mkono!!😜😜[emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji119] masharti ya privacy hayaruhusu labda kwa mtu kuamua mwenyewe kama mimi
😀 😀 😀 😀Dunia imechange sana now day adi waganga wanajipigilia raba