Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,609
Sema tu umeliona wapi kama ninapoishi ntajua nyumbani unapajua[emoji3] [emoji3] Kweli nalijua. Kumbe wewe ndiye @Ihera?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema tu umeliona wapi kama ninapoishi ntajua nyumbani unapajua[emoji3] [emoji3] Kweli nalijua. Kumbe wewe ndiye @Ihera?
[emoji23]
Hahahaa, tafiti zinasema eti ni viriba tumbo..Halafu ambao hawana vitambi si hawana hela dada eeh
Sangoma naona unataka watu waingie kingi wapost mpaka sura zaoKuna wakati tunahitaji ku realise stress... Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya.. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya... Kuna wakati hatuhitaji kusoma post zenye kutafakarisha... Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia...
Solution hii hapa sasa.... Utashangazwa na matokeo take... Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isyo kifani... Fanya hivi hapo ulipo tupia picha yako.. Ya sehemu yoyote mwilini... Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa... Mimi nitaaza na hizi.. View attachment 1217156View attachment 1217157View attachment 1217158
hahaha sioni mtu wa kumkabidhi kitalu cha mapapai aki.
Penda na vyangu basi[emoji41]Hivi ndio vidole vya kike... Halafu ndio ugonjwa wangu [emoji85][emoji87][emoji86]
Dada huyoo ulikuwa nchi gani hapo
VuvuzelaNapenda watu wenye.
wee mtoto embu weka picha basi ujue sitoki hapa nasubiri kuiona😡Kwahiyo nibaki?
Unajua mzee wa kilinge wale jamaa wa nguo nyeusi wanaweza kukutumia vizuri na ss tukaingia kingi safi sana. Imagine mtu ananitafuta alafu nikatuma picha ya mkono au popote na ananijua tayari niko nyuma ya nondo.Na kilinge? [emoji30][emoji144][emoji119][emoji119][emoji119]au na nani?
Sanaa, yaani ni ugonjwa ambao umekosa tiba. Nikiona vuvuzela jingi najisikia kupatia maisha.Vuvuzela
Tusiokuwa na picha acha tuweke za wadogo zetu [emoji134][emoji134]View attachment 1217217
Black is beautyJua kali jamani☻View attachment 1217209
Ngoja wazee wa VAR waje waondoe ilo ua hapo [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23]kha utakua na nyota ya mkata majaniSanaa, yaani ni ugonjwa ambao umekosa tiba. Nikiona vuvuzela jingi najisikia kupatia maisha.
Hahahahahahaha sioni mtu wa kumkabidhi kitalu cha mapapai aki.
WoyoooTusiokuwa na picha acha tuweke za wadogo zetu [emoji134][emoji134]View attachment 1217217
Huyu akiwa shemeji yangu kwa Mshana Jr itakuwa vyema sana. Wazae vifutu.Nipo nimechillView attachment 1217225
Mombassa babeDada huyoo ulikuwa nchi gani hapo