Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Acha basi utani lete og
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha basi utani lete og
Zinaporomoka picha Kali Kali tu humu.
Yangu na hichi kitambi Cha ugali..walahi siwezi kutuma
Zinaporomoka picha Kali Kali tu humu.
Yangu na hichi kitambi Cha ugali..walahi siwezi kutuma
Og gani sasa zaidi ya hiyo nimeipiga muda si mrefu.Acha basi utani lete og
Vinashinda shambani kufukua karanga na viazi.Unamuogopa nani kwamba atakufanyaje na ndo wewe jiamini na si lazima kitambi hata vidole ulipo yatosha
Mda ukituma mkono wako nitue niuone hii mii siitakiOg gani sasa zaidi ya hiyo nimeipiga muda si mrefu.
Au unamaanisha niweke tbt kama hii?View attachment 1218811
Zurri embu weka yako aone semaku inavyomnasaHalafu pics za wadada zina sumaku gani huwezi kuipita pasipo kutoa kalike lkn za wakaka mh!,, kweli mwanamke ni sumaku
Hahaha..Hahahha wengine tatizo ni tecno werevaa uzi umejua kutupa taabu huu
Manga ML acha kukariri maisha.Mda ukituma mkono wako nitue niuone hii mii siitaki
Hafu notfication sipatagi sijui itakuaje
Si ndo vilivyo si tatizo hilo huwezi fanana na mshinda salon kila mtu na majukumu yakeVidole Tena[emoji134][emoji134][emoji1751][emoji1787][emoji1787]Vinashinda shambani kufukua karanga na viazi.
Og gani sasa zaidi ya hiyo nimeipiga muda si mrefu.
Au unamaanisha niweke tbt kama hii?View attachment 1218811
Kabisa niweke vidole vyangu vya kufukua viazi[emoji2][emoji2]Si ndo vilivyo si tatizo hilo huwezi fanana na mshinda salon kila mtu na majukumu yake
Sijakataa mimi ila uzi unata ujiselfii au sijaelewa mimi?Manga ML acha kukariri maisha.
Hizo ni picha zangu. Dark wa 2015 sio wa 2019.
Watu tunakuwa, tunazaa, na tunanenepa.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].Sijakataa mimi ila uzi unata ujiselfii au sijaelewa mimi?
Kwamba hutapendeza machoni pa watu au huwezi kwa nini?Kabisa niweke vidole vyangu vya kufukua viazi[emoji2][emoji2]
Yaani leo nimejilaza tu kitandani toka asubuhi aina ishu, hii post imenisaidia kusogeza mda.
Tafuta utaniona na utakubali[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Wewe umejiselfii au umepigwa?
Ngoja nitafute yako