amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Na watu wa kijijini mkiingiaga mjini huwa mna fujo sana, maintelijensia watavimbajeee leo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sometimes lazima kujiachia kidogo.. Niko likizo acha nile bata kwanza