Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na watu wa kijijini mkiingiaga mjini huwa mna fujo sana, maintelijensia watavimbajeee leo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sometimes lazima kujiachia kidogo.. Niko likizo acha nile bata kwanza
 
Kwani kunatabu kusema nionavyo?
My apology... Sina maana mbaya wala hakuna shida... Ulichotoa ni angalizo muhimu sana lakini wengi huku hawako kule kwenye siasa na malumbano ya uchumi pamoja na maendeleo ya nchi... Hivyo wako huru sana
 
Na watu wa kijijini mkiingiaga mjini huwa mna fujo sana, maintelijensia watavimbajeee leo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]ngoja nirudi kwetu Msata
 
  • Thanks
Reactions: amu
FB_IMG_1569759384947-2.jpeg
 
Back
Top Bottom