Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wazoee tu watu wa JF na walimwengu kwa ujumla
Kila mtu ana namna yake anavyoona mtu....yupo atakayekuona mpole na yupo atakayekuona mkali,yupo atakayekuona wa kike na yupo atakayekuona wa kiume na kadhalika

The best thing about JF ni kwamba kadri watu wanchanganyikiwa kuhusu wewe ndio nzuri inakuwa kwako (kama huna interests na mambo mengine kama kutarajia kudate ama kumeet na mtu humu)

Atakayefikiria chochote kuhusu wewe let him/her be,huna haja ya kujielezea/kujitetea kwa yoyote humu​
Una misimamo wewe!!!
 
Iko hivi ukitaka uepuke shida ambazo sio za lazima, ukipiga hiyo selfie, clear details then upload! Usiende mbio kama nyumbu kuvuka mto wenye mamba kwamba kilio cha wengi harusi, usije sema hukuambiwa.

Pangu Pakavu
Sina vinasaba kabisa na hizi tuhuma zako[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Virefuuu...

Vinafaa sana kwenye yale mambo yetu haswa hatua za awali wakati timu zikiwa bado katika vyumba vya kubadilishia nguo...

Btw umekumbukwa sana...

Umekariri vidole vya Lulu diva vikoje??

Wanaume sio watu wa mchezo mchezo
 
  • Thanks
Reactions: amu
Rudi bush bwana ukanikamilishie mambo yangu.
Ewe dada wa jd uliyemshika mshana siku ya leo naomba umuachie jamani kuna mambo yanakwama.
[emoji23][emoji23][emoji23]... Kipya kinyemi bibie subiri kidogo ila nafanya ule mchakato usijali kabisa
 
Mbona mimi huji ofisini kwangu kunitafuta?? Huu ubaguzi Don

Acha kuniharibia, huyu tulikuwa jirani ofisi. Sasa toka nitoke nitaa ile simpati hata kwa simu.

Halafu nataka mwaka kesho niende naye kupanda mlima Kilimanjaro.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nakuharibia kwa H. O. E?
Sawa sikuharibii tena
Acha kuniharibia, huyu tulikuwa jirani ofisi. Sasa toka nitoke nitaa ile simpati hata kwa simu.

Halafu nataka mwaka kesho niende naye kupanda mlima Kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom