Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nasubiri kwa hamu.
Ngoja kwanza nigoogle kitu maana najua baada ya kupost picha yako, google itakuwa bize kwa muda.

Wewe na jina lako tunataka Picha cute Tu hapa, hatuwezi kukubabali the other way round [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
 
Ila wewe sikubishiagi maana watu wa mkoa fulani na nyie ni wabishi. [emoji23]

Ukianza kwa uongo maliza kwa uongo. Tunaita msimamo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kuna mwanafunzi tulimchapa hadi tukaona tuache tuu.
.
Hajaandika kwenye madaftari yake halafu analazimisha ameandika.
Onesha alipoandika, anafungua daftari mwanzo hadi mwisho kurasa moja moja anafungua hadi ambazo hazijaandikwa.
Anatafuta alipoandika , ikumbukwe ni notes kama za mwezi ndio anazitafuta hivo bora ingekuwa siku moja ingeeleweka kachanganya kurasa.
Hadi Leo na kesho msimamo wake ni "niliandika kweli eti sijui zimeenda wapi".
Sijui ni kabila gani yule mtoto.
 
exif_temp_image.jpg

Kama mimi vile....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana
 
Back
Top Bottom