Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Kwahiyo unataka kusema anatuchukua maelezo kabisa kwamba tukubali Tu kivyovyote ?
Ndiyo zake huyo. Analeta mambo ya ukiombewa kama huna imani huponi.
Kwamba ukiona umemkataa basi huna future nzuri.