Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mlozi anayetumia computer system kufanya yake...Kwa wewe Afrika uko peke yako.
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress... Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya.. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya... Kuna wakati hatuhitaji kusoma post zenye kutafakarisha... Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia...
Solution hii hapa sasa.... Utashangazwa na matokeo yake... Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani... Fanya hivi hapo ulipo tupia picha yako.. Ya sehemu yoyote mwilini... Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa... Mimi nitaaza na hizi.. View attachment 1217156View attachment 1217157View attachment 1217158
 
Ninasubiri picha kama mguu umeshindwa tuma mkono
Okey
535610184.jpeg
 
Back
Top Bottom