verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Hapana nimeupenda kama ulivyo ntauendea gymUmeunyanyapaa mwili wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana nimeupenda kama ulivyo ntauendea gymUmeunyanyapaa mwili wangu
😂😂 unajua kuotea sijui kubahatishaNimesema mimi
mbona hutaki kupostHahahaha umejuaje mkuu?? Yaani nimegundua humu watu mnachodhani ni kwamba zikipostiwa picha za wadada wazuri ni za uongo ila za wadada wabaya ndiyo za ukweli!!
Hahahahahaaaaaaaa haloooooooo yani yupo huko anakufa kwa kicheko huku watu wameshaua mamilioni ya watoto, Mungu anamuonaHatarious.
Bimdada kajua kuwakomesha watu[emoji28][emoji28].
Tulikandiwa na rangi zetu nyeusi huku tukaambiwa hatuna swaggs.
Kumbe bibie alikuwa amekaa mahali anawachora anacheka hihihihihihihi.
Si ulisema meno yamepindaaacha ubahili
Nisifiwe uzi mzima huuhaha ili uzipige vizuri?
Niko vizuri[emoji23][emoji23] unajua kuotea sijui kubahatisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani unaniumiza roho unavyosisitiza reception ya @sakayo
Unataka nipost mara ngapi mkuu??mbona hutaki kupost
Na bado.Scorpio me kusifiwa kote kule kumbe picha sio wewe daaaah wanaume tunaibiwa kweupe
Hahahahaha muniache mimiUmeumbuka[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Mwanaume kamili
Mkuu inaonekana we hujaiona ya yna2...yupo vizuri kinoma afu kitu org hana mambo mengiHahahaha umejuaje mkuu?? Yaani nimegundua humu zikipostiwa picha za wadada wazuri ni za uongo ila za wadada wa wabaya ndiyo za ukweli!!
post sasa hiv kwa mara ya mwishoUnataka nipost mara ngapi mkuu??
[emoji23][emoji23] Umewafanya nini hao wadada..... Mkuu umepambana sanaKuumbuka kwangu hakubadilishi ukweli ... Miguu ya uyo dada mizuri kuliko kiwiliwili chako
EeeeewahWarembo waendelee kupost picha zao ni bora sana kuliko za wazungu.
Au unasemaje boss.
Basi labda hiyo sijaiona mimi nimeiona ile aliyopost jimama linene nikajua ndiyo umesema hiyoMkuu inaonekana we hujaiona ya yna2...yupo vizuri kinoma afu kitu org hana mambo mengi
Ongeza sauti mkuu.Tunapenda kuibiwa hiyo ndio sababu.
Waliopost zao hatujaziona ila zilizopostiwa za kizungu ndio tumezipenda.
Kama mwandiko ulivyo mpole hadi sura yake, reception ile ni kali bhana na sikuisave ile pic ila taswira haijanitoka njoo pm nikuchoreeYani unaniumiza roho unavyosisitiza reception ya @sakayo
Nimekuambia imeshaenda hiyo ikirudi pancha ohoopost sasa hiv kwa mara ya mwisho
Ndo mawazo yao yalivyoHahahaha umejuaje mkuu?? Yaani nimegundua humu watu mnachodhani ni kwamba zikipostiwa picha za wadada wazuri ni za uongo ila za wadada wabaya ndiyo za ukweli!!