Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hasira ziko wapi? Tangu jana tunamjibu kwa hoja hakuna tusi hata moja alilotukanwa

wewe nae mbona unatumia nguvu kubwa kusaka kiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna raha kama unagombana na mtu alafu unamchora...

Mkuu hapo ndio nimekuelewa yani wewe majibu yako simple sana ... Wanakujibu kwa hasira na kujifariji, ngoja niishie hapa maana nishatukanwa na kugombana na wanawake siwezi
 
Ndo mnakotaka twende tu hakuna namna
MBONA PICHA ZENU HAMTUMI JIAMIN ULIVYO AU MPKA UFANYIWE PLASTIC SURGERY NDYO UTUME PICHA [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
IMG_2833.JPG
yako wapii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna raha kama unagombana na mtu alafu unamchora...

Mkuu hapo ndio nimekuelewa yani wewe majibu yako simple sana ... Wanakujibu kwa hasira na kujifariji, ngoja niishie hapa maana nishatukanwa na kugombana na wanawake siwezi
Nacheza na akili zao si majinga haya... Wadada wenye akili na walio starabika huwezi kuta wanabishana icho kitu..

Kama Meeyah, na sakayo ni watu waliostarabika.. Hata kama ni kweli nimekosea wangetumia njia ya kistaarabu kuniambia

We angalia akili zao zilivyo mbovu wameshaanza kutumia personal attacks..

Hata mimi nimepoteza mda mwingi sana bora ningesoma biblia, Nilijua Jf wamestaaribika kumbe wapi..

Sasa hiyo ni mi mama ya miaka 30 inashindana na mimi miaka 20 ...ulafu unakuta ina mitoto mikubwa
 
Back
Top Bottom