Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Na sie ndo tulichompinga tena pasipo kumtusi
Leo kapost yake nikaiona na hana swaga kama anavyojishaua,,,,, huyo kashalipuka maskini kitoto cha mama
Naisubiri pic yako ex share hata mguu tu ila hakikisha isisifiwe kuzidi zangu
Leo sijaona kabisa picha humu
Picha ya mguu 😂😂😂