Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mshana Jr hivi unataka kubarikiwa nini vile [emoji23]

#Mudawakulalahuu
Kiungo pendwa [emoji85][emoji85][emoji85](chochote rafiki roho yangu ipate kupona).... Nifanyie huo wepesi kesho bando lako lote juu yangu[emoji3][emoji3]
 
Huo mwili uko wapi
Huyu mshana ana uchawi jamani..
Thread yake Kama chuma ulete.. haiwezekani imetuganda Kama gundi muda wote tupo humu.

Nimekula Milo yote [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Asubuhi niliwahi kufukia viporo vyangu ndio nikaingia humu.
Mwili haujengwi kwa tofali
 
Back
Top Bottom