Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Usijareee kabesaaa sis soon natia maguu hukooo nimemiss vibe la Mwanza wee jiandae kuchagua utakavyo!😁😁😁😁😁Hatari Sana
Uje Mwanza ccy ukanifanyie mashopingareeee ma out na ma boat cruise.
Summer ndo hii inakwendraaaaaa.
Afu Graduu ya dogo tayari???
Ulisema July sis Juzi Ndio Nikakumbuka uwiii!