ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Nikituma mnanicheka🥹🥹😣Weka picha kama ya siku ile basi 😎😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikituma mnanicheka🥹🥹😣Weka picha kama ya siku ile basi 😎😍
Yani inasumbua mno hata kwangu😁
Ndio ndio na wengine wapate ndio maana Toka juzi nimewaachia na wengine Cc Bantu LadyUsikombe vocha wakati una wifi
Airtel wanazingua sana Leo speed ndogo mtandao unakuja afu unakata kama uno la anittaYani inasumbua mno hata kwangu😁
Usiogope mbona Mimi umenicheka 😎😂Nikituma mnanicheka🥹🥹😣
Bora ukate kama la annita ,ukikata kama la mwenetu utapotea hewani kabisa😄Airtel wanazingua sana Leo speed ndogo mtandao unakuja afu unakata kama uno la anitta
Subiri min akeee nae asemeUsiogope mbona Mimi umenicheka 😎😂
Ziba uso Tupia pichaSubiri min akeee nae aseme
😂😁😁😁 Ni balaaBora ukate kama la annita ,ukikata kana la mwenetu utapotea hewani kabisa😄
Santo sanaaaa💚💛🖤
Wewe na min akee naona mna jambo lenu🤔Sema tu umemmisi tu efen akoo😁! Haya blessini Jioni yangu pulllllllliiiiiiiiizzzzz
Niliandika nikafuta nikaandika tena nikafuta . Mie humu nina jambo na Smart tu na si mwingine nitake radhi pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!!Wewe na min akee naona mna jambo lenu🤔
Mna jambo lenu kwanguuuuu!!🤔Niliandika nikafuta nikaandika nikafuta mie humu nina jambo na Smart tu na si mwingine nitake radhi pulllllllliiiiiiiiizzzzz!!!
😁😁😁 ephen kanipiga marufukuSema tu umemmisi tu efen akoo😁! Haya blessini Jioni yangu pulllllllliiiiiiiiizzzzz
🙄sasa huoni aibu ulivyo mweupe sana?😁😁😁 ephen kanipiga marufuku
Unanisingizia🙄sasa huoni aibu ulivyo mweupe sana?