ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Tuma😎Unanisingizia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuma😎Unanisingizia
Min akooo anakukubali kinyamaaaa yaniii bila kukutaja hajisikii vizuri Kabisa!Wewe na min akee naona mna jambo lenu🤔
Tatizo yeye ni timu kataa ndoa! Atanichezea usichana wangu tu🙄Min akooo anakukubali kinyamaaaa yaniii bila kukutaja hajisikii vizuri Kabisa!
Si unaona hapo nimesalimia tu hata sijatuma foro kakuita😁😁😁!
Min komaa ivoivo hadi atakuelewa tu 😂
Nimekata tamaa🥺Min akooo anakukubali kinyamaaaa yaniii bila kukutaja hajisikii vizuri Kabisa!
Si unaona hapo nimesalimia tu hata sijatuma foro kakuita😁😁😁!
Min komaa ivoivo hadi atakuelewa tu 😂
Nilisha toka huko🤨Tatizo yeye ni timu kataa ndoa! Atanichezea usichana wangu tu🙄
🙄SawaNilisha toka huko🤨
Acha wogaaa uenjoyy utamu wa duniaa banaaa!!😂😂Tatizo yeye ni timu kataa ndoa! Atanichezea usichana wangu tu🙄
Anajua sitaki na nimekasirikaAcha wogaaa uenjoyy utamu wa duniaa banaaa!!😂😂
Mhm 😊😊Acha wogaaa uenjoyy utamu wa duniaa banaaa!!😂😂
Ivoivo komaaa😂Nilisha toka huko🤨
Pikipiki posta kazini namuuza waziwaziiiiiiiiii 😁😁😁😁😁Mhm 😊😊
Usimkazie hivoo mtoto wa mwanamke mwenzio ujuee 😁!Anajua sitaki na nimekasirika
Ivoivo komaaa😂
Hakuna kitu kina umiza kama kufanya maamuzi kwa kuchelewa 😭Usimkazie hivoo mtoto wa mwanamke mwenzio ujuee 😁!
Wee unakwama wapi naweee utakua mpole kupita kiasi hadi kwenye kutongoza Walai 😁! Komaa kiumeeeHakuna kitu kina umiza kama kufanya maamuzi kwa kuchelewa 😭
Dah ,nina moyo mdogoWee unakwama wapi naweee utakua mpole kupita kiasi hadi kwenye kutongoza Walai 😁! Komaa kiumeee
[emoji16][emoji23]Anajua sitaki na nimekasirika
😁😁😁[emoji16][emoji23]
Kuna haja niende tena kliniki yangu ya machoSelfika na Smart
Enjoy your weekend wapendwa
Kila la kheri Yangaaa 💚💚💛💛🖤🖤💪💪💪💪💪💪
Mwenyewe sijaona babu😁😁Kuna haja niende tena kliniki yangu ya macho
Nimezoom zaidi ya mara 10 sijafanikiwa kuona the real picture🙌
Kweli nimezeeka Babu yenu 🤗